ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,307
- 31,727
Tips zako za jana zimetoaMorning wakuu, ni siku ingine tena tunashkuru tumeamka salama.
Again, bets nazoweka just kama budget yako ni 100k igawe mala 2 au 3, then kila post weka kiasi, then tuonane jioni[emoji4]
Good luck guys
nashkuru mkuu nishafanikiwaHapo kuna match umecheza option mbili tofauti. Itafute na ubaki na option moja.
44FD18F
Betpawa
165
Umeanza ulozi mapema sana mzee...Leo girona na shoga yake ataranta wanaweza ushangaza ulimwengu
Wacha tuupe muda wakati
Labda kwa zile ramli zinazopigiwa toilet,!.... Huku mpiga ramli akiwa kasharanduka na bange!Leo girona na shoga yake ataranta wanaweza ushangaza ulimwengu
Wacha tuupe muda wakati
mjini hapa, kujiongeza ndiyo mpango. unaweza kujiona uko full unajiamini lakini kwenye Pawa6 ukawa unapata point chache, hata katika orodha ya wanaopata rewards haupo, cha ajabu wale unaowaona maboya wanapewa rewards. kumbe wenzio hawatumii nguvu, wanakopi tu correct scores za kwenye prediction sites.Hivi correct score watu wanaenda kwenye prediction site wanakuja kuweka pawa6 ndo wanapiga kidizaini flani, tofauti na mimi naetumia kichwa pekee😏ni akili tu mtu wangu,
Dah umenikumbusha machungu mkuu!...St Paul nilimpa direct win , na appollom limasol nae nilimpa double chache ila kapigwa kaondoka na kaninyima 1.3m, tren la timu 40, ila sitaachakubeti
By then siku kama ya leo ... Mafahari wachache ulingoni....Leicester city win
AEK Athens Win
Olympiacos Win
Girona Win
Backa Topola Double chance
Atalanta Double chance
Tukutane sheli
Alirudishiwa goli dak ya 90+Dah umenikumbusha machungu mkuu!...
St Pauli nilimuamini sana!... Nikaenda nae kavu! Kavu Bila ndomu!..... Aisee!
Odds 28+ kwa stake ya 21k... Ikaenda.... Ni moja ya timu huwa naiamini mnoo...
Nilipigwa ganzi na yeye tu!.... Akanipeperushia 500k!
nashkuru Mungu sana, za leo pia Mungu anatenda, lets see this nightTips zako za jana zimetoa
Siku Ile wakamaria 90 percent tulipigwa na kitu kizito!Alirudishiwa goli dak ya 90+
Jitu, Jitu, Jitu.... Hivi cha arusha hutumii kweli wewe.. [emoji23]Labda kwa zile ramli zinazopigiwa toilet,!.... Huku mpiga ramli akiwa kasharanduka na bange!