komunisti
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 1,417
- 2,102
Kuna mechi utakuwa umeirudia mara mbili angalia pembeni utakuta imewekewa mstari wa rangiwakuu naombeni msaada jinsi ya kutoa 2x wakati unaweka stake kule sportybet ni vipi maana nikiweka 500 yenyew inaji double mkeka huo huo sasa kutoa ile 2x nafanyaje wakuu msaada please