Kuna mechi utakuwa umeirudia mara mbili angalia pembeni utakuta imewekewa mstari wa rangiwakuu naombeni msaada jinsi ya kutoa 2x wakati unaweka stake kule sportybet ni vipi maana nikiweka 500 yenyew inaji double mkeka huo huo sasa kutoa ile 2x nafanyaje wakuu msaada please
ahsante mkuu nimeshalifanikishaKuna mechi utakuwa umeirudia mara mbili angalia pembeni utakuta imewekewa mstari wa rangi
Invalid mkuu[emoji91][emoji91]Sport bety , source NIGERIA CODE
ODD 1000 , CODE 8300C51
WaogaKwanini mechi za CAF hazijawekwa mpaka sa hii?
[emoji2956] naweka nyumba ya ukooGame mbili...odds 2.13
Weka mchepuko
Mkeka ukichanika najitolea kuwa mchepuko mpya
4F77D7A SB
[emoji2956] naweka nyumba ya ukoo
OK ngoja niweke na kwamara ya kwanza naomba mkeka uchane 😋Game mbili...odds 2.13
Weka mchepuko
Mkeka ukichanika najitolea kuwa mchepuko mpya
4F77D7A SB
Sio poa kakaTangu juzi nafata mikeka za watu nachezea za kichwa tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hamna mwenye uhakika wa ku win kila mtu apambane kivyake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio poa kaka
Betpawa auGame mbili...odds 2.13
Weka mchepuko
Mkeka ukichanika najitolea kuwa mchepuko mpya
4F77D7A SB
Ligi ya Greece usiguse ina matokeo ya kikatiliOption ya direct win ni ya kiwaki sana, anthens anachomolewa goli 2 kama amesimama,!?...
Hii ni moja ya option nimeidelete mazima!!!