Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Reeedi and ze jentoo kwa sasa tunamleta nabiii wenu na si mwingine niiiii MR PIPAAAAA piga keleleeeeeeee, aya tulien anamachache ya kuongea karibu sana WAKUU KUTOKANA NA KULOST KWA MUDA MREFU,, NIKAAMUA KUINGIA KWENYE KUFUNGA NA KUOMBA,,, HATIMAE NIMEPEWA UWEZO MKUBWA NA NIMEKUJA NA SABUNI YA UPAKO WA MIKEKA HIYI UNAOGEA KABLA HUJAENDA KUBETI MANA WENGI WENU MNAGUNDU UKISHAOGEA HIYI UKISHIKA SMATPHONE YAKO UNAKUWA NA MACHO YA KIROHO UNAONA MECHI ZOTE ZENYE WIN KIFUATACHO WE NI KULA HELA TU MANA NIKITAZAMA NYUSO ZENU NAWAONA KABISA HAMNA MATUMAIN SASA NIMEKUJA NA SULUHISHO HIYI SABUNI KIPANDE NI TSH ELFU KUMI NIKIKUPA MPAKA KUISHA UNA SHLNG M50 CHANGAMKIEN FURSA NJOON PM
 
Eti kijiweni huku wanasema wapo utakaowapata🀣🀣
 

Ungetafuta suluhisho kwnz we na uliomchoma kisu cha matrakooo kutumia hio sabuni
 
Jana nilijitoa kidogo ufaham nikazipa timu nne direct win, nikaweka 5000 ila nilitaka kuweka 50k roho ikawa inagoma goma... Nilikuwa na odds 2.8 naamka asbb nakuta nina 14k. Yaani nimezaa 9k nikajilaumu kwann sikuweka 50k yote.
 
7BAA118 betpawa leo ijumaa, option ya direct win. Weka shilingi 100 upate milioni 477.
Nataka weka elfu moja nione kama itakubali kuleta bilioni 4.77.
Mkuu username yako na code unazotuma ni vitu viwili tofauti[emoji23]
Hebu umiza kichwa mkuu usibonyeze bonyeze tu kwa kuangalia odds za bookies.
 
Jana nilijitoa kidogo ufaham nikazipa timu nne direct win, nikaweka 5000 ila nilitaka kuweka 50k roho ikawa inagoma goma... Nilikuwa na odds 2.8 naamka asbb nakuta nina 14k. Yaani nimezaa 9k nikajilaumu kwann sikuweka 50k yote.
Hahahah ungeweka 50k Kanji akushangaze. Ofcoz hiyo ndio betting... hujui bahati yako inaangukia siku gani. Ndio maana inabidi mtu usuke mikeka mingi yenye odds nyingi nyingi ili bahati ikikukutia at least upige mshindo.
 
Hahahah ungeweka 50k Kanji akushangaze. Ofcoz hiyo ndio betting... hujui bahati yako inaangukia siku gani. Ndio maana inabidi mtu usuke mikeka mingi yenye odds nyingi nyingi ili bahati ikikukutia at least upige mshindo.
Hapo ndo huwa majanga... ukiweka ndogo unakula, ukiweka kubwa kanji anawapa ili washee hela yako
 
BREAKFAST TICKET ON HELABET πŸ€πŸ€πŸ€

3 Odds

Booking Code: UAY7L

Jisajiri na stake hapa πŸ‘‡

Jisajiri na stake hapa

Tumia Promocode: SASA

Utapewa bonus ya asilimia 100 mara tu utakapoweka hela kwenye akaunti yako ya Helabet.
 
We kweli hamnazo,yaani akili zako kwenye Maisha umezi turn kwenye Ushirikina tuu? Au Utapeli mtandaoni,maana kila comments zako napost ni ushirikina tuuuu,sio akili hiyo,Fanyakazi,jitume sio hizo akili mgando

Hivi unaona kila anaebet ananjaa kama wewe?
Umejiunga JF 2021 which means bado Mwali,wenzio tumo humu JF kitammboo kwenye Majukwaa ya Biashara before hatujaingia kwenye Hii Forum na tulimiliki Smart phones na computers wewe ukiwa bado unavaa uniform

Watu Tuliishajipata kitamboo,tumejenga,Tunabiashara zetu na Watoto Wanasoma kwa viwango.
Tumejipanga kimaisha since betting platforms hazijasambaa.

Yaani wewe akili Yako umeiset humu ndio pa kutobolea Maisha,Angalia umri wako Dogo,acha ujuaji,jipange kabla maji ya Jioni hayajafika ukaanza kulaumu kila mtu

Huku watu Wana bet mpaka milioni kwa siku,na ikiliwa mtu wala hawazi maana watu Wana other sources of income

Yumo mtu anaitwa Matee humu yeye mkeka mmoja kutia laki mbili wala hawazi na siku anaweka mikeka zaidi ya mitatu na ikichanika ndio kwaanza kesho anatupia mwingine

Acha mipasho Njoo Chanika muda huu wa Off Day,au over weekend ila not from Monday
Shuka Kituo cha Magenge mwambie Boda akulete kwenye Bar ya IGP SIRO utanikuta,mita 400 mbele ya hiyo Bar

Tunaongeza miji naTunaandalia watoto Maisha yao
Fanyakazi kwa bidii, jipange,Acha Ushirikina au kutaka kutapeli watu kimtindo kwa Imani za Utapeli wa kishirikiana kupitia this Forum,hamna mazuzu humu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…