Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nyumbu.wewe
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wamesema wewe ndo master...!! Aiseee matokeo ya leo yanaonesha ukweli kuwa Kumlipisha mtu hela ya group na kumnunulisha odd ni ungesee

Sijaelewa kuhusu kulipia group?

Mimi sichezi kamari kutafuta million 100.

Na bet kupata Tsh. 100,000 mpaka 200,000 kila wiki.

Nina siku ambazo napata loss, lakini loss zangu ni ndogo na ni loss ambayo haili mtaji wangu bali hela nilizo shinda wiki nzima.

Mfano siku 7 sasa na nina ushindi wa unit zaidi ya 10.87. Kama unit yangu ni Tsh.10,000, nina ushindi wa Tsh. 108,700.

Sikumbuki lini nimetumia hela yangu kubet.

Naona hii topic ni ndefu sana na watu wajaelewa jinsi ya kubet na bankroll, unit, edging, alternate n.k

Betting kamari na betting kwa kufanikiwa week to week ni vitu tofauti. Topic ndefu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…