Anonymous77
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 589
- 1,515
Mikeka 22 iko kwenye dustbin [emoji45][emoji45][emoji45]
Mikeka 22 iko kwenye dustbin [emoji45][emoji45][emoji45]
Kwenye nguzo kabsa mzee main switch inawashika22 what.. we ni kama nyota Yako ya betting ilzimwa kwa main switch ππ alafu ulikuwa una stake ngp
Mmmwenyewe code zako sijawah kupataPole, Nimetuma codes mara 3 zote zinafanya vizuri na watu wanafwatilia. Jaribu ku clear cache zako.
Codes zipo π BahatiBillionaire
Tupambane nayopole mdada..usisahau kuwa maisha ni vita
Nmegundua betting is not my thing, hii mikeka yote nakopig JF,wamama tuendelee kupika tu wababa tuwaachie kubet
Kipindi kile iligoma ila mambo yalibana nikakosa muda wa kukuambiaPole, Nimetuma codes mara 3 zote zinafanya vizuri na watu wanafwatilia. Jaribu ku clear cache zako.
Codes zipo π BahatiBillionaire
Ahh bro unanipeleka telegram tena! Kama huwezi kutuma codes humu kama wengine basi kaushaPole, Nimetuma codes mara 3 zote zinafanya vizuri na watu wanafwatilia. Jaribu ku clear cache zako.
Codes zipo π BahatiBillionaire
Kama KDB yupo hakuna namna Newcastle atatoka