Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

HT X TAYARI kaboooooom
 
Kuna huyo jamaa wa Congo anaitwa Yoane Wissa anakiwasha sana ni bonge la player na hii mechi ya Zambia na Congo ni kali sana na Tanzania hana wa kumfunga hapa! Namaliza kwa kusema Tanzania atatupa hela maafisa Yan mechi zote atapigwa tu
 
KAPUMBUUUU MNAMKUMBUKAA.MWAMBAA
 

Attachments

  • Screenshot_20240118_003318_Chrome.jpg
    94.2 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…