Draw or awayWakuu Leo vipi kati ya Napoli na Fiorentina nibetije ?
Predictions zako kila siku naziangalia tu leo nimejaribu kuifata hii kwa single bet, ngoja tuone itakavyokuaGUINEA BISSAU
FT X
CS FT 1-1/2-2
Utatoa mlio ww. Jana umeona boom nyingi unazishobokea😂😂😂.. leo mapema zimeanza kulipuka hizo. Kuna correct score imeishia 2-0 sio 00 tenaPredictions zako kila siku naziangalia tu leo nimejaribu kuifata hii kwa single bet, ngoja tuone itakavyokua
Italy ni wahuni, kama ni mkeka wa kimkakati usiweke.Wakuu Leo vipi kati ya Napoli na Fiorentina nibetije ?