Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huyu Ivory coast goli anaweza kupata kweli kwa wanao angalia game?
 
Sio kwa nia mbaya ila nimefanikiwa pakubwa kujizuia kubet kama mwanzo nilivyokuwa nikifanya, tangu Desemba tarehe za mwanzoni mpaka leo nimebet mara moja tuu tena jana. Next time ni kufuta app ya kubet
Kitendo cha kurudi fungua huu uzi na kutype comment hapa basi hujaacha, endelea jidanganya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…