Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahah we jamaa wawaza nyama choma mie hela zangu zimekatalia Voda hadi sasa baada ya kuzihamishia Barclays, eti watamirudishia baada ya saa 24

Duuuh the nyama choma festivo itakua ishaisha tayari, anyway ipo siku hawa wabetishaji watalia na kusaga meno sana,,..

Kama usd 90 hivi.

Daaah sio mbaya week ijayo ndugu kama sio j4 copy kama ulivyo kama leo yaan itakua pesa, najua leo nimekosa labda kwa kuwa championship haikuwepo..
 
mi kubet mpira nimechill kwanza, nasubir next week, ligi nilizozioea ziendelee... nipo kwenye majaribio ya kubet live kwenye basketbol....nimekula buku tano .... si zaidi ya dakika kumi na tano, shimo likatema.....naendeeea
 
kwa kuwa nimeivamia hii basket, sio mbaya wakuu mnaofahamu kipindi kimoja cha basket kina dakika ngap mnielezeni
 
Dominic republic and Slovenia kwa live play tip over 139.5 points
 
Leo mapeema nimeshautandika mkeka wa siku tatu. Nimempa

Greece, sweeden, rep of ireland, Italy na Turkey

Odds zimekuja jumla 44 nimeweka 10000.
 
Mkeka wangu kuanzia jana hadi kesho kutwa kwa mhindi PREMIER BETTING
Girona vs tenerife.. 1
denmark vs armenia.. 1
Georgia vs republic of ireland.. 2
hungary vs northen ireland.. 1
garoe island vs finland.. 5
Las palmas vs lugo.. 1
luxemborg vs belarus..2
montenegro vs moldova..1
san marino vs lithuania..5
spain vs fyr macedonia.. 4

COPY AND PAST N YOUR OWN RISK
bet responsibly
Mechi ya kwanza ishachezwa jana
zingine leo na kesho

jumla ya odds 145
 
wakuu nisaidieni ndo kwanzaaa nataka nianze huu mchezo...sijui hata nianzie wapi wakuu...hizi hela nje nje sitaki kuzikosa mazeee
 
Wazee leo mkeka wangu huu hapa.
Hungary
Mali
France
Germany
Costa rica
# tsh5000
*******************
Greece
Spain
Columbus
Finland
Poland
Tsh 10000
***********
Copy and past its allowed but to your own risk...
 
Wazee leo mkeka wangu huu hapa.
Hungary
Mali
France
Germany
Costa rica
# tsh5000
*******************
Greece
Spain
Columbus
Finland
Poland
Tsh 10000
***********
Copy and past its allowed but to your own risk...

Mkeka mzuri
 
Copy and paste at your own risk
 

Attachments

  • 1410078511572.jpg
    1410078511572.jpg
    73.6 KB · Views: 94
Back
Top Bottom