Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Enter with caution!.... Use your head!...

Hii code imekaa kijitu JITU!
Kwa ajili ya wale wapenda vya kunyongwa!

42CBE9
 
Jaman hii ni kero Sasa Moods/Admn pls remove huyu Kayombo tushamwambia aache mambo ya Utapel lakn hasikii
Wakuu
Jaman hii ni kero Sasa Moods/Admn pls remove huyu Kayombo tushamwambia aache mambo ya Utapel lakn hasikii

Jaman hii ni kero Sasa Moods/Admn pls remove huyu Kayombo tushamwambia aache mambo ya Utapel lakn hasikii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji20][emoji20][emoji20]
Mkuu useme nimekutapeli nini mimi? Na kama kuna yeyote nimemtumia ujumbe inbox aweke ushahidi hapa. Mimi kuweka Code na tangazo linalo husiana na uzi nageuka kuwa tapeli? Mkuu Slee naomba uweke ushahidi wa utapeli wangu hapa au yeyote ambaye nishamtumia ujumbe wowote inbox alete hapa
 
Jaman hii ni kero Sasa Moods/Admn pls remove huyu Kayombo tushamwambia aache mambo ya Utapel lakn hasikii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji20][emoji20][emoji20]
Mkuu niambie nimekutapeli nini mimi? Pia kama kuna yeyote nimemtapeli iwe ni hapa au nje ya hapa aseme. Nina page X na telegram channel kuna watu wamejoin, kama kuna yeyote aliye kwenye channel ya telegram na X amewahi kutumiwa ujumbe wowote na mimi aseme. Pia, ni watu wengi wamejisajili na kujiunga kupitia promo code ninayo weka, lakini hakuna hata mmoja ameombwa chochote au hata kuwasiliana na mimi.
 
Nilikuambia that day,
Ukiweka Link inayohitaji mtu ajiunge kwenye kampuni ya kubet na kuweka code yako means upo kujitangaza wewe na kupata commission zaidi kuliko kutoa tips watu washinde.

Uzi haukuanzishwa kwa malengo hayo kaka. Kama una tips weka hadharani, sio unazifichia kwenye links.
 
Mkuu hakuna sehemu ambayo huwa naficha Tips. Kila nikipost kitu lazima naweka na Booking Code ambayo ndiyo imebeba tips. Sasa utapeli hapo uko wapi? Sijawahi kupost chochote bila kuweka Tips. Huwa naweka tips na idadi ya odds. Ni wapi ambapo nilificha tips? Halafu mbona tips ninazo weka zipo zinawin na zipo zinazo lose kama wote wanavyo post hapa?
 
Rejea post zangu zote ambazo nimewahi kuweka hapa zina tips pamoja na link za kwenda kubetia kwenye kampuni husika. Lazima booking Code naweka na link ya kujisajili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…