Ukipata Jodi tunaomba tuwekee mkuuLearn or hate! More than 400kβ ππView attachment 2905499
Mmh,,,, sawaKesho nitawapa feedbackgView attachment 2906718
code invalidMnaopenda odds nyingi.
Kampuni Sportpesa
code: pI5WC7
Hii ni total ya tips nilizotuma hapo juu kwa picha .
jaribu hii mkuu upate hio 150k yenye unahitaji jioni, inshaalah[emoji120]Wewe malaika wa Mungu mwenzio nina hamsini nina shida na laki na nusu .
Stake ya 50 elfu niko nayo tafadhali nifariji
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Baby nimeghairi kusafiri kwanza nasubiri izo codeswakuu wacheni nikunywe breakfast kwanza na mume , cas anawahi mahali nabaki mwenyewe[emoji123] , then nianze kuchambua na kuona naowaamini nao wanachambuaje then nidecide zile naona ziko ok kujaribu niwaletee humu pia[emoji120], badae
Hatariii aisee.. mapema tu wale wa direct win Chaliii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mechi ya ANTALYASPOR Added time 4 Refa kawatafutia Goli watu Dk 100,
Unasubiri maokoto sasaNimebeba mkeka yote ya humu ndaniView attachment 2907041
hahah[emoji28] karibu kwa nyumba babe, alafu ukute nmekuandalia nini? na utakula kwanza ndo ule au ule kwanza then utakula badae? codes nishaweka just look honey[emoji4]Baby nimeghairi kusafiri kwanza nasubiri izo codes