Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kafanyaje mkuu mbona unataka kulia lia wakati watu tunafurahia won au umesahau wanasiasa wakivimbiwa wao wanajua wote mmevimbiwa sasa kwanin unataka kunihalibia shuhur nabii wenu nimewin wote mmewin sitaki vilio leo wote chekeni enjoini furain
jamaa hauboi
 
Endelea kunywa sungura yako hapo ubandani chief🤣🤣
 
Yaani Nilijua Tuu Lazima kuna Vigogo wayatimbe.

Stuttgart Ana Red

Leicester City Kapigwa 2

[emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174]
 
mr pipa siku ukipata hela uje apa Kariakoo nikuuzie Smartphone kwa Discount ya zaidi ya 45% off, Hii offer ni kwa ajili yako tu maana unateseka sana kuandika na iko kitochi chako.

Notify me when you're ready
 
kafanyaje mkuu mbona unataka kulia lia wakati watu tunafurahia won au umesahau wanasiasa wakivimbiwa wao wanajua wote mmevimbiwa sasa kwanin unataka kunihalibia shuhur nabii wenu nimewin wote mmewin sitaki vilio leo wote chekeni enjoini furain
Ka moja TU dk ya 78 over 2.5 itatoa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…