vp kizazi kinasongesha swalama gurudumu, ila kizaz hk kina code za ukweliiNipo nipo kiaina mkuu
Jukwaa sasa hivi lina kizazi kipya....... Mapambano yanaendelea [emoji1434]
pamoja sana ila nimechelewaKitu icho tia 300 tu ule elf 14 kipo live pesa ya gest hiyo ukikosa ujue una laana ya sa100
Odds40
8A516204
AF85E6A [emoji117] odds 30 hizo[emoji16]
Unajua maana ya hii option lakiniTusubiri dk 90 mkuu mana kwenye mpira lolote linaweza kutokea sisi tunatabiri kulingana na elim ya unajim lakini wanao cheza ni wengine [emoji1431]
cash out unapata mpaka pesa ngap kwenye hy shng 10Leteni matreni wakuu tustake shilingi kumi kumi kutafut milioni 85
Kama ni rahisi hivyo kwann usiunde mkeka wa timu 50 kwa double chance ili uweke hata 20k ...umpige kanji?Mkuu kulingana na unajimu wa nyota kaa genti ana nyota ya mshale(mushtara/moto) na mpinzani wake ana nyota ya mashuke (autwarid/ardhi) na saa wanayo cheza inamilikiwa na autwarid wa mashuke (udongo)
Kiasilia moto rafiki yake upepo,na udongo rafiki yake ni maji.
Hivyo basi moto adui yake ni majimaji,maji adui yake ni upepo ,upepo adui yake ni udongo , udongo adui yake ni moto,na siku zote tabia ya moto inapigwa na tabia ya maji,pia tabia ya maji upigwa na tabia ya upepo na tabia ya udongo upigana na kuzuliana na tabia ya moto.
Ivyo basi saa 8:00pm siku ya jumatano mtawala ni autwarid wa nyota ya mashuke ambae kitabia atakua ni udongo na tukumbuke katika timu zetu za Kaa genti vs maccabi Itakua ngumu sana sababu timu Moja ni moto ingine ardhi Na muda wa mechi tabia yake ni udongo ivyo kiutabiri mechi hii Ina asilimia kubwa sana kuisha ndroo ama maccabi kushinda sababu maccabi ni udongo na mda wa mechi ni udongo ivyo Kaa genti kushambuliwa na timu pinzani pia kushambuliwa na mda wa mechi.
Na ndio mana nikaunda izo mechi tatu nikaweka apo ili Kila mtu aone na acheze,nimezitengeza kutokana na mfumo wa kiunajim na zina asilimia 99 💯 za kushinda,na ad dakika hii ninayo andika apa tayari zinaenda kama vile nilivyo tabiri,tusubiri dk 90 ndio ziongee mana kwenye mpira lolote linaweza kutokea🙏🏽
Ni mungu tu ndo ajuayecash out unapata mpaka pesa ngap kwenye hy shng 10
Inawezekana mkuu ila tambua izo timu tatu tu nimetumia nusu saa mzima kwenye unajimu sasa just imagine Izo timu 50 nitachukua mda ganiKama ni rahisi hivyo kwann usiunde mkeka wa timu 50 kwa double chance ili uweke hata 20k ...umpige kanji?
Wewe ni msengeremaheeh?are you serious? guys mbona mnakua like.... sjui niseme aje, kwani huoni huwaletea zote nazopost na zikishinda pia nawajulisha na naweka screenshot? au nikuonyeshe nini kingine? video? ooooh gosh[emoji17] now i understand why watu hua wanaacha kuwasaidia watz , sababu you guys hamueleweki mnataka nini, ndo mana hata humu kwa group watu huacha kushare wanabakinazo wenyewe tu kwa mambo ka haya
Betpawa zipo?Hii site wanaweka free codes kila saa, zinakuwa updated kila baada ya saa kadhaa, mnaweza kuicheki ila ni muhimu kufanya uchambuzi aise, sio kila code unabeba... All the best!
Liver kapanga kikosi kibovuLiverpool ashinde na 4+
Liver kapanga kikosi kibovu
Aisee ni hataree naona liver kafika izo goli 4Liverpool ashinde na 4+
Zipo ila kwa uchache sana bossBetpawa zipo?