Sio poa. Yani amesepa na wallet kikuzi yaniJuventus siku hizi sijui ana Shida gani
Sio poa yaniCeltic wameshikilia trigger tuombe kidole kisicheze💣
inaandikwa CORNERS, siyo COURNERS.
Hungary ligi yao haina magoli sana
Sielewi huyu ataniua leo🤔🤔Hivi feyenord mnamuelewa 62 bado 0-0