Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana nilikua na siku mbaya sana. Nilikataa cash out kubwa kama ya 650k matokeo yake nikakosa vyote. Hii ngumu kumeza nilikua naenda kumpiga kanji pigo kubwa sana la kuanzia mwaka 2024.
Uwe unatupia basi mkuu na huku tuna edit muda mwingine mitaji ndo maana mtu unakuta unanyuti tu
 
watu wanadiscuss. kuna jamaa kapost app ya signal pamoja na password yake. nimelogin imekubali. bado sijajua kuitumia vizuri hii app. ngoja niichunguze jinsi ya kutumia.
Mbona nimeingia kumepoa mkuu nimetoa Salam lakin kimya🤔
 
poa, ipitie polepole utaielewa tu
Sijui chochote kuhusu hayo mambo.

Mambo ya kubeti siyajui kabisa.

Mfano wakiandika Option ya kwanza GG/NG -No

Option ya pili wakiandika GG/NG-Yes

Option ya tatu wakiandika DC-12

Wanamaanisha nini.

GG(Both team to score ),NG-No goal,DC - double chance.

Nifafanulie hizo options
 
Kazana na ubuyu wa kina domo haya mambo acha kama huyajui utavua nguo mchana kweupe
 
Woon.
 
GG/NG - No timu zote zisifungane mfano zitoke 0-0, 1-0, 2-0, 0-1, 0-2

GG/NG- Yes timu zote zifungane mfano 1-1, 2-3, 2-1

Double chance au DC 12 Ina maana timu yoyote ishinde mfano 3-1, 2-0,0-2
 
Nahitaji wakala wa 1XBET ambaye naweza kuweka hela kwa namba za simu na siyo lipa namba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…