Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hakuna sure odds. Asidanganywe mtu.
 
kajichanganya kuedit.

huyu jamaa ni tapeli na channel yake. nilishamshtukia tangu kitambo tu. anakujaga na IDs tofautitofauti kutangaza channel yake ya kitapeli.
Sijaona tatizo mbona, si kaweka over 5.5 total corners, sasa hapo si zimefika 9 Kuna tatizo Gani?
 
kajichanganya kuedit.

huyu jamaa ni tapeli na channel yake. nilishamshtukia tangu kitambo tu. anakujaga na IDs tofautitofauti kutangaza channel yake ya kitapeli.

Heavy

Kuna kakundi FULANI kana IDs Tofauti kameiingia humu kiusanii,yaani wale Mapoyoyo wa FB,sasa wanashindwa kujua JF ni sehem ya GREAT THINKERS

Yaani utoto Mwingi na ujinga Mwingi zaidi

Ndio maana unaona ma LEGEND wametuliaa wanawazoom tu.
 
Sio kwamba mechi zilikua nyingi amecrop
inaweza kuwa sawa. lakini bado huyo jamaa ni tapeli. nilishaichunguza sana channel yake, imekaa kitapeli.

wakati naichunguza, free matches alikuwa hapost, yeye alikuwa anapost won slips tu kutoka kwenye group lake la VIP kutangaza VIP channel yake. kwahiyo ni tapeli.

kaichunguze na wewe channel yake ujionee.
 
Wanaofanya screenshot ili waaminishe watu kua wanashinda ni matapeli tu

Binadamu tuna hulka ya roho mbaya ndo maana tajiri hawezi kukupa mbinu zake za mafanikio, Nina uhakika mtu angekua kweli anajua pa kupata fixed odds(ambazo kiuhalisia hazipo) basi angekaa kimya na kujipigia hela mwenyewe Wala asingethubutu ku share na watu wengine kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…