Mbona nimeingia naona match za leo tuu mkuu vp umefunguapo A/c nini utupe mrejesho wa tips za jana wameshinda ngapileo ndio naiona hii tusaidiane kuiperuz kama itakuwa msaada kwetu tuitumie na tupeane fdback
French visitors
hahahaha mkuu NO RETREAT NO SURRENDERMimi jana.niliwafuata bankocep ila ulikufa kwa wale colombia both team to score[emoji34] [emoji34]
Hata baada ya uchambuzi maridhawa nliangukia pua mikeka yote 9 duh kanji wwe qumerniner zako upo mda utakaa ten kwa dau refu hatari.
hapana sina a/c chief..Mbona nimeingia naona match za leo tuu mkuu vp umefunguapo A/c nini utupe mrejesho wa tips za jana wameshinda ngapi
Aha mana.sijaona.predictions za jana mkuuhapana sina a/c chief..
Hahahahaaaa.......Mimi jana.niliwafuata bankocep ila ulikufa kwa wale colombia both team to score[emoji34] [emoji34]
Hata baada ya uchambuzi maridhawa nliangukia pua mikeka yote 9 duh kanji wwe qumerniner zako upo mda utakaa ten kwa dau refu hatari.
sijawah itumia nimeiona 2day ngoja tui check nmeona pred zake za magoli kama bankocep,Aha mana.sijaona.predictions za jana mkuu
Za Leo mkuu !!???
leo ndio naiona hii tusaidiane kuiperuz kama itakuwa msaada kwetu tuitumie na tupeane fdback
French visitors
Japan J League 2 = 2+
huwa wanachagua zile mechi nyepesi mkuu (ambazo zina odds za kike). ila bado nawafuatilia. ipo siku nitawaelewa.Jana bancocep wamepredict 9 wamepata 7 ,soon ntawaletea prediction zao leo
[emoji23] [emoji23]3+ zao zina odds mlima
2+Goli 2
mkuu nakufuata (kama NYUMBU au NG'OMBE ASIYEKUWA NA MKIA) kama ni kufa tufe wote.Odd.10 hapa nauwa muhindi