Neron
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 461
- 360
pole sana Chief kwa matatizo, wewe upo mkoa gani?Daaah asubuhi mepata tatizo broo kakatwa jana nite mapanga, sasa asubuhi mempeleka hospital afu sikuwa na pesa cash, natoa hela meridian ili tupate huduma nw mpaka sasa daah bora hata mkekabet wapo faster.....tukiendelea kumwinda kanji huku tunawaombea pia wagonjwa.
Then mwenye odd hata 8 za uhakika aweke mambo hapa