Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
LOST....sio Mbaya nimempiga mitatu kanila mmojaTujaribu hapa
View attachment 379750
LOST....sio Mbaya nimempiga mitatu kanila mmojaTujaribu hapa
View attachment 379750
Asante sana, nipo mwanza aiseepole sana Chief kwa matatizo, wewe upo mkoa gani?
Wakuu hv ili niweze walau kula laki 2 kwa wiki ni tips gani au mambo gani kufuatilia??
Aisee, ha ha ha hatariiiHahahaha ... Chief huwezi kupata jibu la moja kwa mmoja kuhusiana na hilo swali. Trust me. Hii ni bahati tu. Kuna mdau hapaa alitoa mchanganuo mzuri sn kwa kufuata odds 4 daily, nimeujaribu kaka najikuta niko pale pale ... yani unakula leo, kesho uunairudisha yote au na zaidi ...
Aisee, ha ha ha hatariii
Balaa hiilo linanikuta week nzima sasa, au bora maximum timu tatu labdaHatareee sn aisee ... ttzo surprises haziishi. Kuna timu unakuwa na imani nayo kbs kuwa itatoa matokeo flan lkn yanakuja kinyumeche. e.g. kuna timu unajua kbs itatoa 2+ walau, unashangaa 0-0 au 1-0 ...
Aarau kapita na laki 4 dah
nimewabembeleza hata double chance wamegoma hahahaUnaona sasa ... Aarau ni ya kushindwa kupata goli hata moja kweli????
Surprises will never end ... grrrrrrrrrrrr
Bali odds ngapi mkuu, nia kujifunza kwako1.44odds never kwenye mikeka yangu
hakuna odd ya uhakika ila hiyo odd imekua kiongozi ktk kunichania mkeka.Bali odds ngapi mkuu, nia kujifunza kwako
hakuna odd ya uhakika ila hiyo odd imekua kiongozi ktk kunichania mkeka.Bali odds ngapi mkuu, nia kujifunza kwako
Safi sana kakahakuna odd ya uhakika ila hiyo odd imekua kiongozi ktk kunichania mkeka.
mimi huwa na cheza na 1.70 au 1.71 kwenye double chansi ni 1.20 na 1.30 lakini eti 1.19? siwezi hata kujisumbua