Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ImageUploadedByJamiiForums1470988547.704726.jpg



Ukiamua kuwafuata kwa mechi zote walizoweka leo jumla ya Odds ni 45.05 ... kazi kwetu.
 
Huyu RNK Split sio yule Hajduk Split ambaye ni mkali zaidi ...asante kwa ushauri, ngoja nisubiri BankoCep ...hehehe, hapa dawa ni kutembea na nyota za BankoCep, Clevertips
Mia jembe. Yan hawa jamaa Wanajitahidi sana.. Dawa ni kuteleza tu na odds zao 2 tu.
 
Mia jembe. Yan hawa jamaa Wanajitahidi sana.. Dawa ni kuteleza tu na odds zao 2 tu.


Naaam, kwenye predictions zao za leo huwezi kosa Odds 4 hapo utie kilo. Mwanzo mzr wa weekend ! God with us
 
View attachment 380138


Ukiamua kuwafuata kwa mechi zote walizoweka leo jumla ya Odds ni 45.05 ... kazi kwetu.


Huwa hawaptii zote mkuu, wanakosa moja au mbili kama mimi tu na wengine wengi humu.. ila nimegundua kitu kwa hao jamaa chukua game za kikapu walizozipa over hapo wanajitahidi na odds zake mlima pia... ushauri wangu huo wadau
 
Naanza kuwafurahia tena mkeka bet kwa kuchukua hatua ya kurudisha system ya awali ambapo sasa unaweza kuangalia tena bet slip na kuchek status za timu ulizoshinda kama won/lost.
Ila bado kitu kimoja tu,rangi ile ya zamani,mkifanya hivyo na kuongezea options zingine hapo mtakuwa the best
Kweli mkuu yani hapo umesema yaliyo moyoni mwangu! Waturudishie kale ka rangi halafu ile ya live match na matokeo unayaona!
 
Viking vs Rosenborg ... daaah !!! nimedesa BankoCep lakini Kanji kapita na mm ... daaamn

Ila hawa jamaa naona kama wanani convince kurudi kwenye soccer aisee!

Level yao ya accuracy ni undisputed.
 
Wacha nijaribu tena inplay!

Placed On: 12/08/2016 13:18
TZS200,000.00 Treble

ID: xxxxxxx

type: Treble

Settled (Y/N): No

Total Stake: 200,000.00 Tzs

Payout: 0.00 Tzs

Void (Y/N): No

Event Market Selection Price Results
FC Astana v FC Irtysh Pavlodar Both Teams To Score Yes 1.85 N/A
Port Melbourne Sharks v Hume City FC Both Teams To Score Yes 1.60 N/A
Sai Gon FC v Than Quang Ninh Total Goals - Under/Over Under 2.5 1.54 N/A
 
Wadau hii ligi ya Holland 2 inatoaga sana both of teams score chagua timu chache mtoke jamani kuna ela pale
 
Tutafute laki ya kesho...

Goteborg
PSG
Liefering
Monaco/Anderletch

odds 3.3

Stake; 30,000/=

Msaada kati ya monaco na anderletch yupi ana nafasi nzuri ya kushinda?
 
Kuna kitu kinna nzengua Mkeka bet kila nkibet multiple kwenye bet slip zina kuja zikiwa single Mwenye ujuz wa hili tafazar msaada wenu.
 
Back
Top Bottom