Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi mwenzenu ninaweza nikawa na machungu elfu ya kufumuliwa na kanji lakini nikiiona tu avatar ya tpaul,naanza kuvunjika mbavu tu hadi namsamehe kanji na ninarudi mchezoni kama sikuliwa vile,hivyo avatar hiyo hunifanya niburudike mno.Nikajua ni mimi tu huwa inanichekesha kumbe tupo wengi
 
1470752544541.jpg
1470752551802.jpg
 
Naanza kuwafurahia tena mkeka bet kwa kuchukua hatua ya kurudisha system ya awali ambapo sasa unaweza kuangalia tena bet slip na kuchek status za timu ulizoshinda kama won/lost.
Ila bado kitu kimoja tu,rangi ile ya zamani,mkifanya hivyo na kuongezea options zingine hapo mtakuwa the best
 
Hiyo game nilicheza 10mns draw cha ajab meridian washanipiga red kwe mkeka
hata mimi mkuu mpaka sasa cjaelewa why au mimi cjaelewa maelezo yao kuhusu hyo option maan mpaka 10min ilikuwa draw aiseee
 
Mkuu hivi hii ya 10Min X inamaana gani hapa nilipo nimeduhaaa!!![emoji45] [emoji45] [emoji45]
Mkuu hii ni betting inachezwa ndan ya dk kumi toka mpira uanze ina 1 x 2 ukichagua 1= ndan ya dk kum home team awe amepata goli, ukichagua 2 = away awe ameshinda ndan ya dk kumi ma ukiweka x iwe draw ndan ya dk kumi
 
Back
Top Bottom