Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bankocep washatoa mzigo wa leo nashindwa ku upload humu, network issue
 
Andika huo mzigo....
Huo hapo
1470735147835.jpg
1470735153790.jpg
 
nakushauri udownload app ya jamii_forum uendelee kutumia uzi huu kama unaona kutumia browsers ni shida maana humu kuna mambo mazuri kwelikweli.. vunja mbavu na vibweko vingne vingi.. kama huu ushauri huuwezi ondoa whatsapp kwny simu yako na utumie viagra na konyagi.. karibu sana mkuu..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] atumie viagra
 
Wanaojadiri magroup ya whatsapp hawajitambui kabisaaa kwani hapa wanakosa nini??? waache ujinga wao hapa!!!!
 
wakuu, hawa meridian leo mbona siwaelewi? eti mtu ukitaka kutazama tickets, unaombwa u-log in hata kama tayari unakuwa umeishalog in...kuna mwingine mwenye kupata tatizo hili?

upload_2016-8-9_16-46-54.png
 
Back
Top Bottom