2jabway
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,257
- 1,398
hao ukiwa na capital kubwa chukua mbili tatu tia mzigo wa maana lazima kanji akaeGemu za leo almost 95% zimekubali
hao ukiwa na capital kubwa chukua mbili tatu tia mzigo wa maana lazima kanji akaeGemu za leo almost 95% zimekubali
Aisee wadau jana kuna tukio la kusikitisha limenitokea. Nilikuwa nimesimama maeneo ya Mwenge karibu na maduka nikaona mama mtu mzima analia. Wakati huo nilikuwa nipo kwenye simu yangu nachati na mtu Whatsapp. Basi ile nikasogea karibu kujua nini kinajili na watu washaanza kujaa. Yule mama kumbe kaibiwa simu. Mara kuniona mimi akasema simu yake aliyoibiwa mimi ndo nimeishikilia. Watu wakanivamia kuanza kunipiga. Bahati nzuri maaskari wakatokea. Wakatuchukua wakatupeleka polisi kijitonyama. Kufika Kijitonyama yule mama akaambiwa apige simu yake ikaonekana kwamba kumbe aliiasahau nyumbani sababu aliipokea mdada wa kazi. Yule mama alidhani mimi ndo nimemuabia simu sababu simu yake na yangu zinafanana. Sasa akaanza kuniomba msamaha. Polisi wakashauri kwamba tuelewane. Huwezi amini yule mama akataka kunipa milioni moja cash. Bahati mkojo ukanibana ikabidi niamke kwenye hii ndoto na kwenda kujisaidia. Yaani nimeudhika sana huu mkojo unenikosesha milioni moja. Sirudii tena kunywa maji mengi kabla ya kulala. Ili ni funzo kwa watu wote kabla hujalala usinywe maji maana unaweza kosa dili ndotoni..
noumer sana mkuu.Aisee wadau jana kuna tukio la kusikitisha limenitokea. Nilikuwa nimesimama maeneo ya Mwenge karibu na maduka nikaona mama mtu mzima analia. Wakati huo nilikuwa nipo kwenye simu yangu nachati na mtu Whatsapp. Basi ile nikasogea karibu kujua nini kinajili na watu washaanza kujaa. Yule mama kumbe kaibiwa simu. Mara kuniona mimi akasema simu yake aliyoibiwa mimi ndo nimeishikilia. Watu wakanivamia kuanza kunipiga. Bahati nzuri maaskari wakatokea. Wakatuchukua wakatupeleka polisi kijitonyama. Kufika Kijitonyama yule mama akaambiwa apige simu yake ikaonekana kwamba kumbe aliiasahau nyumbani sababu aliipokea mdada wa kazi. Yule mama alidhani mimi ndo nimemuabia simu sababu simu yake na yangu zinafanana. Sasa akaanza kuniomba msamaha. Polisi wakashauri kwamba tuelewane. Huwezi amini yule mama akataka kunipa milioni moja cash. Bahati mkojo ukanibana ikabidi niamke kwenye hii ndoto na kwenda kujisaidia. Yaani nimeudhika sana huu mkojo unenikosesha milioni moja. Sirudii tena kunywa maji mengi kabla ya kulala. Ili ni funzo kwa watu wote kabla hujalala usinywe maji maana unaweza kosa dili ndotoni..
Naomba ni2mie hii app plsNakufa hivi leoView attachment 364783
hongera mkuu...naona kanji kakaa bila shuruti!Ama zangu Ama Zake View attachment 378031
si ungeuachia tu hapo kitandani uendelee na ndoto yako upate huo mpunga?Aisee wadau jana kuna tukio la kusikitisha limenitokea. Nilikuwa nimesimama maeneo ya Mwenge karibu na maduka nikaona mama mtu mzima analia. Wakati huo nilikuwa nipo kwenye simu yangu nachati na mtu Whatsapp. Basi ile nikasogea karibu kujua nini kinajili na watu washaanza kujaa. Yule mama kumbe kaibiwa simu. Mara kuniona mimi akasema simu yake aliyoibiwa mimi ndo nimeishikilia. Watu wakanivamia kuanza kunipiga. Bahati nzuri maaskari wakatokea. Wakatuchukua wakatupeleka polisi kijitonyama. Kufika Kijitonyama yule mama akaambiwa apige simu yake ikaonekana kwamba kumbe aliiasahau nyumbani sababu aliipokea mdada wa kazi. Yule mama alidhani mimi ndo nimemuabia simu sababu simu yake na yangu zinafanana. Sasa akaanza kuniomba msamaha. Polisi wakashauri kwamba tuelewane. Huwezi amini yule mama akataka kunipa milioni moja cash. Bahati mkojo ukanibana ikabidi niamke kwenye hii ndoto na kwenda kujisaidia. Yaani nimeudhika sana huu mkojo unenikosesha milioni moja. Sirudii tena kunywa maji mengi kabla ya kulala. Ili ni funzo kwa watu wote kabla hujalala usinywe maji maana unaweza kosa dili ndotoni..
nashukuru kwa ushauri wako mkuu...imekubali kwenye simu....kwenye kompiuta inazingua.Mie nlidownload app kwenye playstore
Hongeraa Chief.
HahahaaAisee wadau jana kuna tukio la kusikitisha limenitokea. Nilikuwa nimesimama maeneo ya Mwenge karibu na maduka nikaona mama mtu mzima analia. Wakati huo nilikuwa nipo kwenye simu yangu nachati na mtu Whatsapp. Basi ile nikasogea karibu kujua nini kinajili na watu washaanza kujaa. Yule mama kumbe kaibiwa simu. Mara kuniona mimi akasema simu yake aliyoibiwa mimi ndo nimeishikilia. Watu wakanivamia kuanza kunipiga. Bahati nzuri maaskari wakatokea. Wakatuchukua wakatupeleka polisi kijitonyama. Kufika Kijitonyama yule mama akaambiwa apige simu yake ikaonekana kwamba kumbe aliiasahau nyumbani sababu aliipokea mdada wa kazi. Yule mama alidhani mimi ndo nimemuabia simu sababu simu yake na yangu zinafanana. Sasa akaanza kuniomba msamaha. Polisi wakashauri kwamba tuelewane. Huwezi amini yule mama akataka kunipa milioni moja cash. Bahati mkojo ukanibana ikabidi niamke kwenye hii ndoto na kwenda kujisaidia. Yaani nimeudhika sana huu mkojo unenikosesha milioni moja. Sirudii tena kunywa maji mengi kabla ya kulala. Ili ni funzo kwa watu wote kabla hujalala usinywe maji maana unaweza kosa dili ndotoni..
Kwema Mkuu....ulipotea sana humu!!!!Karibu tenaza masiku wadau!
Pole Mkuu...uyo Cork City bora ungemchezea magoli maana huwa haelewekiStuttgart win
Aarau win
Cork city win
Goteborg draw no bet
Safiii hivi ndo inatakiwa, kanji sio ndugu yetuView attachment 378177
Aliyenifata asubuhi.....BET WON. Hongera zetu
Bet won
group lipo watu 71 saa hzTuanzishe group la whatsapp tuwe tunapeana predictions za kila siku tupige mihela.kama mnaafiki wekeni namba zenu (pm)