Mgboss
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 497
- 279
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mganga toka Marangu [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mganga toka Marangu [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Maana ya double ChanceMi huwa nabet over/under, 1x2, btts, handicap, ila sielewi double chance INA maana gani,
MSAADA
OK thanks bro, ngoja niingie premier bet niushone mkeka wa ukweliMaana ya double Chance
12-maana yake team yoyote ishinde yani wasitoke sare yoyote
1x-Wa nyumbani ashinde au apate sare
x2-wa ugenini ashinde au atoe sare
Always Teams za U20 U21 U17 U23 huwa wanatoa 2+ mpaka 5+Hii sasa ni sheeeeda mana nimeweka under 3.5 Duu View attachment 377859
msaada jamani wa odds za leo ata nirudishe mtaji..ili august 13 nicheze single bets
BUDDY MSAADA MKUU
Hapo hapo lakini ushauri wangu wape magoli 1+ 2-4 2-5 2-6halmstad
krasnodar
vfb stuttgart
stjarnan
mawazo....
Yani nimekosa GG kwa Semen Padang Grrrrrr!!!
Poa mkuuWeka backup plan...wape wote second half over 0.5 ...... Lipatikane angalau goli moja tu second half.....
BelarusDinamo minsk aisee ipo ligi gani
Nawakusanya tu.... Mnaowapa ushindi wote mi nawapa second half 1+.... Point nzuri tu 1.23 , 1.19 , 1.26 ... Ukizipata mechi 10 ni point 10 na zaidihalmstad
krasnodar
vfb stuttgart
stjarnan
mawazo....
Your stake led to personal bankruptcy
Naona madura kachana mkeka duh!!Ukiamka na hela kwenye bonus account raha sn, ngoja tuanze kuzitumia kabla sijaanza kumrudishia kanjibah ...
Madura Utd - X2 (1.54)
Oakleigh Cannons - Win (1.76)
Dinamo Minsk - 2-4 (1.56)
------
Total Odds = 4.28
Hii formula nzuri sana......Huyu kanjibahi hafai
Jaribuni mbinu hii mim juzi nimejikuta na ukimbia umaskini kupitia mkeka betting.
Nilichagua timu 13 kutoka ligi tofauti tofauti kisha nikatia buku jero kwa zaid ya 2M.
Mfano leo mpaka tarehe 23 August unachagua timu 10. 2EPL, 2laliga, 2france, 2ujeruman, 2champion au league 1.
Ni ubashiri lakini uwezekano wa kushinda unakua mkubwa. Pia kwa kuwa timu ni nyingi kwa dau la buku 1 au 2 hukosi 2M+ kama ukishinda.
Pia kwa style hii unaweza kubet mara 1 au 2 tu kwa mwezi mzima.
Huu mchezo hauna mbabe wala formula. Ni mchezo wa pata potea. Sio pata patia.
Mkuu ni wapi huko nami nijiunge nimechoka kubet kila sikuHuyu kanjibahi hafai
Jaribuni mbinu hii mim juzi nimejikuta na ukimbia umaskini kupitia mkeka betting.
Nilichagua timu 13 kutoka ligi tofauti tofauti kisha nikatia buku jero kwa zaid ya 2M.
Mfano leo mpaka tarehe 23 August unachagua timu 10. 2EPL, 2laliga, 2france, 2ujeruman, 2champion au league 1.
Ni ubashiri lakini uwezekano wa kushinda unakua mkubwa. Pia kwa kuwa timu ni nyingi kwa dau la buku 1 au 2 hukosi 2M+ kama ukishinda.
Pia kwa style hii unaweza kubet mara 1 au 2 tu kwa mwezi mzima.
Huu mchezo hauna mbabe wala formula. Ni mchezo wa pata potea. Sio pata patia.
Naona madura kachana mkeka duh!!
Mkeka bet......Mkuu ni wapi huko nami nijiunge nimechoka kubet kila siku