Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ahahah root bana bado inaendelea kutoa laana
Huu mchezo hauna heshima hata kidogo kama vile hauna watu wazima kwao ..... Mtu anaweka mechi 21 anakosa 1 , anaweka 1 anakosa 1 , unaweka 10 unakosa 2.... Inabidi sasa ukitaka kubeti unajifungia ndani unavua nguo zote unaimba kidogo " maepe mtoto akilia mlete".... Unachukua lipande la mkaa unaliweka kwenye kona ... Unakaanga Moyo wa kuku mpaka unakuwa majivu .... Unajipaka usoni, unatafuta damu ya mende unaisukutua afu unatema (usimeze tafadhali)... Tafuta nanasi saga changanya na chumvi ya uvinza kifuko cha 500 ... Ukipata na mafuta ya siafu uyapake kwenye uti wa mgongo .... Ukimaliza hili tambiko oga kwa Maji yenye upupu.... UTAMLA KILA SIKU usipuuze mimi nilishindwa masharti .... Ukiyaweza pesa nje' nje..... Karibuni Mganga kutoka Marangu
 
hahahaaa mkuu umenichekesha aiseee hadi nimejikuta nasahau machungu ya kanji teh teh
 
Huu mchezo hauna heshima hata kidogo kama vile hauna watu wazima kwao ..... Mtu anaweka mechi 21 anakosa 1 , anaweka 1 anakosa 1 , unaweka 10 unakosa 2.... Inabidi sasa ukitaka kubeti unajifungia ndani unavua nguo zote unaimba kidogo " maepe mtoto akilia mlete".... Unachukua lipande la mkaa unaliweka kwenye kona ... Unakaanga Moyo wa kuku mpaka unakuwa majivu .... Unajipaka usoni, unatafuta damu ya mende unaisukutua afu unatema (usimeze tafadhali)... Tafuta nanasi saga changanya na chumvi ya uvinza kifuko cha 500 ... Ukipata na mafuta ya siafu uyapake kwenye uti wa mgongo .... Ukimaliza hili tambiko oga kwa Maji yenye upupu.... UTAMLA KILA SIKU usipuuze mimi nilishindwa masharti .... Ukiyaweza pesa nje' nje..... Karibuni Mganga kutoka Marangu
teteteeeh.... huyu ndio mtoto wa nzi
 
Leo nazitafuta japo odds 5,naona kama pesa yaweza kuwepo vile.
Hamna siku pesa haiko Mangi.... Si unajua tena Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo (MOSHI)....... Ukiliwa jua umeonyeshwa na yule Mweusi na Mwekundu wenye mapembe ...... Hivi Hakuna malaika mweusi kweli!!?? .....
 
Wakuu ushauri vipi
Screenshot_20160808-104229.png
 
Huu mchezo hauna heshima hata kidogo kama vile hauna watu wazima kwao ..... Mtu anaweka mechi 21 anakosa 1 , anaweka 1 anakosa 1 , unaweka 10 unakosa 2.... Inabidi sasa ukitaka kubeti unajifungia ndani unavua nguo zote unaimba kidogo " maepe mtoto akilia mlete".... Unachukua lipande la mkaa unaliweka kwenye kona ... Unakaanga Moyo wa kuku mpaka unakuwa majivu .... Unajipaka usoni, unatafuta damu ya mende unaisukutua afu unatema (usimeze tafadhali)... Tafuta nanasi saga changanya na chumvi ya uvinza kifuko cha 500 ... Ukipata na mafuta ya siafu uyapake kwenye uti wa mgongo .... Ukimaliza hili tambiko oga kwa Maji yenye upupu.... UTAMLA KILA SIKU usipuuze mimi nilishindwa masharti .... Ukiyaweza pesa nje' nje..... Karibuni Mganga kutoka Marangu
Ukimaliza hayo mashart yote una Log in unaambiwa server error au player not found
 
Huu mchezo hauna heshima hata kidogo kama vile hauna watu wazima kwao ..... Mtu anaweka mechi 21 anakosa 1 , anaweka 1 anakosa 1 , unaweka 10 unakosa 2.... Inabidi sasa ukitaka kubeti unajifungia ndani unavua nguo zote unaimba kidogo " maepe mtoto akilia mlete".... Unachukua lipande la mkaa unaliweka kwenye kona ... Unakaanga Moyo wa kuku mpaka unakuwa majivu .... Unajipaka usoni, unatafuta damu ya mende unaisukutua afu unatema (usimeze tafadhali)... Tafuta nanasi saga changanya na chumvi ya uvinza kifuko cha 500 ... Ukipata na mafuta ya siafu uyapake kwenye uti wa mgongo .... Ukimaliza hili tambiko oga kwa Maji yenye upupu.... UTAMLA KILA SIKU usipuuze mimi nilishindwa masharti .... Ukiyaweza pesa nje' nje..... Karibuni Mganga kutoka Marangu
ahhaahahahahahahahahahahahahahahahaahahahahah
 
Ukiamka na hela kwenye bonus account raha sn, ngoja tuanze kuzitumia kabla sijaanza kumrudishia kanjibah ...

Madura Utd - X2 (1.54)
Oakleigh Cannons - Win (1.76)
Dinamo Minsk - 2-4 (1.56)
------
Total Odds = 4.28
 
madura mbona cimwon meridian
 
View attachment 377640

What a way to complete a weekend ! ... nimefurahi kulipa kodi 100K leo, teh teh teh
#HataKwaKololoInawezekana
Safi mkali buddy. Nilikua bize na inplay siku mbili tatu hizi. Ila mda wa kokolo umewadia sasa. Hata kama tunajilipua hatuwezi kuacha asili yetu bwana. ligi nyingi zimeanza ngoja na mm niandae kokolo la 10k kwa m2. Naanza kuzichambua leo babaake. KOKOLO FOR LIFE.
 
Ukiamka na hela kwenye bonus account raha sn, ngoja tuanze kuzitumia kabla sijaanza kumrudishia kanjibah ...

Madura Utd - X2 (1.54)
Oakleigh Cannons - Win (1.76)
Dinamo Minsk - 2-4 (1.56)
------
Total Odds = 4.28
nipe odds 2.
 
Back
Top Bottom