Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

turbo maana take nn na hiyo huduma inapatikana kampuni gani msaada tafadhali

Hii huduma ipo Meridianbet Chief ... inakupa nafasi ya kukatisha mkeka km mechi nyingine hazijaanza kucheza. Mfano umebet timu 10, halafu 6 kati ya hizi ukawa umeshinda na unasubiri mechi 4 zichezwe, unaweza kukatisha na kuvuta mpunga. Lakini masharti ni yafuatayo ...

i. uwe umeshashinda timu 3 ama zaidi kwenye huo mkeka unaotaka ku-turbo
ii. mechi zilizosalia zisiwe zimeanza kuchezwa.
 
kuturbo maana take nn na hiyo sins inapatikana kampini gani
Kuturbo maana yake ni KUCHUKUA fedha kwa ANGALAU TIMU TATU zitakazoshinda kwenye mkeka (vigezo na masharti kuzingatiwa). hii huduma inapatikana kwenye kampuni ya Meridian tu.
 
Hii huduma ipo Meridianbet Chief ... inakupa nafasi ya kukatisha mkeka km mechi nyingine hazijaanza kucheza. Mfano umebet timu 10, halafu 6 kati ya hizi ukawa umeshinda na unasubiri mechi 4 zichezwe, unaweza kukatisha na kuvuta mpunga. Lakini masharti ni yafuatayo ...

i. uwe umeshashinda timu 3 ama zaidi kwenye huo mkeka unaotaka ku-turbo
ii. mechi zilizosalia zisiwe zimeanza kuchezwa.
thanx nimekusoma vzr
 
tumia desktop mode utapata option ya kuattach kwa wap style hata mimi nilishindwa lbda kama kuna mautundu zaidi ya app ya jf
Km kwa cm download app inaitwa tapatalk halaf wa follow jf ! Inakuwa rahc ku2ma
 
upload_2016-8-8_0-0-33.png


What a way to complete a weekend ! ... nimefurahi kulipa kodi 100K leo, teh teh teh
#HataKwaKololoInawezekana
 
Web63628Vodacom
kawaida
Dau 2,000.00
22,084.57 3H7360NKE5 Paid winner2016-08-07 12:20:252016-08-07 12:26:22 nimeshalipwa kwa m pesa
Shukrani ziende kwa
Cska moscow,
Ajax,
Man u,
Feyenoord,
na Celtic kwa dau la 2000 wamenilipa 22,000
 
michawi huwa haikosekani.....mamamaeeeh! huu mchezo hauhitaji HASIRA!
upload_2016-8-8_0-55-52.png


upload_2016-8-8_0-58-23.png



upload_2016-8-8_1-1-32.png
 
Kweli Mungu ni wa wote, kwa hisani ya wazee wenzangu wa both teams score nimeamka na 50,000/= kutoka kwenye 2600/= Mtaji umenenepa sasa
1470616640252.jpg
1470616651249.jpg
 
Back
Top Bottom