Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2016-8-7_21-33-33.png


Courtesy of #InPlay
 
Zikiongezeka 3 au 4 kijani ni bora uka turbo mapema maana wachawi hua hawana dogo buddy!!!


Asante kwa ushauri ila kwa huo mkeka haitawezekana kuturbo ... mechi zimeungana. Hapo ni either nile ama niliwe.
 
yimu 14 zimetiki bado unasubiri tu ahhaah bora nionekane mwoga aubstake ulitia ndogo buddy
 
Asante kwa ushauri ila kwa huo mkeka haitawezekana kuturbo ... mechi zimeungana. Hapo ni either nile ama niliwe.
Basi endelea kuya binya uku ukifanya sala wakati huo huo kanjih ana kuna sharubu zake [emoji60][emoji60][emoji60][emoji60]
 
Palmeiras anakosa penati....
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-07-22-32-01.png
    Screenshot_2016-08-07-22-32-01.png
    31 KB · Views: 38
Back
Top Bottom