Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,380
- 2,855
Ishawin hiyo mzee, mie mkekabet washaniwekea pesa angu tayar
Gedsellian Tz, Shukrani kwa kutuletea nondo za ukweli...Vile vileTufikishie Shukrani kwa BANCOP.
[emoji120]
Ishawin hiyo mzee, mie mkekabet washaniwekea pesa angu tayar
Tungoje tena kesho kwa leo inatosha ukisema uongeze tu kengine unaweza kuta ukamrudishia kanji helaGedsellian Tz, Shukrani kwa kutuletea nondo za ukweli...Vile vileTufikishie Shukrani kwa BANCOP.
[emoji120]
Tungoje tena kesho kwa leo inatosha ukisema uongeze tu kengine unaweza kuta ukamrudishia kanji hela
Na mm noti zishajaa fasterIshawin hiyo mzee, mie mkekabet washaniwekea pesa angu tayar
Hawa jamaa ctowaweka tena kwny mkeka wng.......Asanteni Victoria Plzen mungu awalaani
Hahahaha duh pole sana mkuuHawa jamaa ctowaweka tena kwny mkeka wng.......
Mie nimewapa over 1.5 na wamebaki wao tuBenfica win
Man city win
Nimetia 100k
Gud sana kijana....hiyo option kesho utanielekeza vizurdooooh....nkaona sio kesi..... nikauturbo zilibaki timu 3