Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2016-8-7_10-11-34.png


upload_2016-8-7_10-11-48.png
 
Hawa premierbet wanamatatizo gani? unachagua timu baadae ukicheck Betslip iko empty ... grrrrrrrrrrrr ... ngoja nirudi meridianbet labda "Server Error" imeisha.
 
Premer wamekuwa mzigo siku za hivi karibuni ukiingia tuu ukichagua team utashangaa inakwambia page imekuwa nzito unataka ijifunge yaan natatizo chungu nzima
 
Daaaah wakati watu mnalalamika bahat nzuri jana nliwafuata bancocep kwa basket na liver over 2.5 na championshp kadhaa wamenipa mtaji mzuri wa kuanza wiki. Natafuta odd 5 tu kwa leo nawasubir banco waweke utabiri wao nichanganye na wangu
Ya bancocep wako vizuri sana ......mi mwnyw wamenisaidia kurudisha mtaji baada ya kipigo cha kila cku
 
Daaaah wakati watu mnalalamika bahat nzuri jana nliwafuata bancocep kwa basket na liver over 2.5 na championshp kadhaa wamenipa mtaji mzuri wa kuanza wiki. Natafuta odd 5 tu kwa leo nawasubir banco waweke utabiri wao nichanganye na wangu
utupie humu ntakufata mkuu
 
SUNDAY MORNING PREDICTIONS
KICK OFF 7AM
Sydney United - Manly United- GG
Melbourne Victory - Pascoe Vale-2
Sunshine Coast Fire - Queensland Thunder-1
Olympic Fc - Gold Coast City- GG
Olympia Fc - Hobart Zebras- 2
Blacktown City Fc - Leichhardt Tigers-1
 
Vietnam league
Dong thap mempa over 1.5 first half
Metia hela wazee gemu inaanza sita unusu
 
2---4 GOALS
WESTHAM VS JUVE..
WERDER VS CHELSEA
SOUTHAMPTON VS ATLETICO BILBAO
BESIKTAS VS OLYMPIACOS
NAPOLI VS MONACO....
Leo ndio siku yako ya kupata helaa.. zote hizo zinatoa hayo magolii...
 
Back
Top Bottom