Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mungu anakazi kubwa sana huku wengine tulikuwa tukiomba barca ashinde wengine wanaomba goal mbili duuu nouma bora mungu haonekani aiseee tungemkondesha
 
PSV anakimbizwaaaajeeeeeeee....... Akishinda bahati...kwa game ilivyo mpaka sasa.....
 
Muda mwingine zingatieni maoni yanayotolewa hapa jamvini,nilishatoa elimu ya utabiri wa matokeo kwa kuangalia odds,ambapo nilishasema away team akipewa odd ya 1.51 to lose is possible at 95%,sasa leo nilijua BARCA ataliza wengi.

NB.
Kama watu mtaunga mkono kwa hii research yangu,naamini conclusion yake itakuwa ni njema sana kwetu.
 
nilishauri muda flan kugeukia kikapu watu wakaishia ku view tu naendlea kuleta updates mechi mbili zimesha toa.
mechi mbili point mbili then tia mzigo.(nime nukuu post yangu ktk previous pages)
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-06-22-17-14.png
    Screenshot_2016-08-06-22-17-14.png
    125.5 KB · Views: 38
nilishauri muda flan kugeukia kikapu watu wakaishia ku view tu naendlea kuleta updates mechi mbili zimesha toa.
mechi mbili point mbili then tia mzigo.(nime nukuu post yangu ktk previous pages)
Naelewa mdau ulitoa elim kuhusu kikapu, unaweza toa tena elim kwa faida ya wote,,, plizzzzz
 
Soccer halina adabu hata kidog..... Huu mziki anaochezewa PSV afu kapata magoli ya kidondokela ananshinda kubet huku anaangalia mechi ni shida ..... Sio fair aseee.... Utretch kakichafua sana afu anafungwa yeye
 
Lo@dinV,jaribu kuichek hii game ya olympic kati ya SOUTH AFRICA(W) vs CHINA(W),CHINA (W) kapewa odd ya 1.51,so at 95% i bet S.Africa win while at 5% i bet S.Africa double chance.
1.51 Kwa hisani ya m bet.
 
Nilijua tu hii wiki ya kwanza lazima kanji abatize kwa moto..Ntarejea wiki ijayo asee
 
Back
Top Bottom