Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

cku bado mbichi ngoja nitafute odd 4 za ucku nirudishe kilicholiwa leo.
 
bet lost but I am still as HAPPY as always coz this game does not require any ANGER. let me try my luck once again.
[emoji5] [emoji23] [emoji23] that's right man, life goes on.
 
Huuu mpira huu Valencia n wakugongwa 2 na castle palace halftime
 
Kweli kabsa huu mchezo wa kurudiarudia timu ulinikost sana zaman.......cku iz siufanyi
kweli kabisa mkuu. tazama jinsi rangers alivyonigalagazia mikeka 3 kwa mpigo:

upload_2016-8-6_18-3-4.png
 
Hahahahahaaa...kweli vipigo vya mfululizo vinachanganya sana, mlikuwa mnanicheka mimi wiki kadhaa humu, sa mfano hao wenye odds za 1.03 wakitoa 0-0 na umeweka 100K utalalamika? Kweli unacheza laki upate elfu tatu?
hahahahaaa unanifurahisha sana etii elfu 3...teteteteeee
 
haiko yenyewe 0.3 angalia mkeka huo.. labda umetupia kitu kumkichwa?
Hahahahahaaa...kitu kumkichwa lazima unazani hii kazi bila konyagi inaenda? nimetolea tu mfano kwamba haifai kupoteza pesa kwa odds za aina hiyo unless otherwise liwe kokoro then stake ya kukusanyia mtaji.
 
naweeka stake mambo motto baada ya masaa ma 3 na log in meridian pamewaka motto😀🙄🙄
 

Attachments

  • upload_2016-8-6_18-32-37.png
    upload_2016-8-6_18-32-37.png
    8.7 KB · Views: 41
Back
Top Bottom