Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mchawiii.. yani mikeka miwili kachana yeye tuuu.. laki nne ya kanji imepona.. hamsini yangu imeenda..
 

Attachments

  • ulee.png
    ulee.png
    44.3 KB · Views: 34
Australia NPL kuna mjinga katoa 1-0 wakati wenzake wote wametoa 3+ pumbavvv
 
ipo kukata au hata kuchinja tamaa kulaleki ku.........e.. 2 minutes of injury time club brugge double chance X2 afu anafungwa dk ya 91+47min.. ku........e siamini hata kidogo nimefunga mahesabu yote nasikia notification.. kama kuna siku nshawahi kasirika na hii mchezo basi leo hawa mbwa wamenipandisha mizimu yang.. k...ma hawa mbwa wakubwa wasera mbwa hawa.. wamebet na wao ku....a wakubwa mbwa mwitu mamie zao kabisa wakafiri....we huko mbele mbwa wakubwa hawa
mkuu, huu mchezo hauhitaji HASIRA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani nilikuwa safari nje ya nchi, Iam back leo nipo kazini. Naanza na wajapani namna hii.
1. Kawasaki
2. Urawa
3. Hiroshima
karibu sana TULIE wote mkuu. si unajua KILIO cha wengi ni HARUSI?
 
wakuu, haya matimu ya australia ni ugonjwa wa moyo....siku ukiyapa GG hayafungani lakini siku usipoyapa, yanafungana kama hayana akili nzuri. ndio maana kumbe huu mchezo hauhitaji HASIRA.
upload_2016-8-6_13-35-53.png
 
Australia NPL kuna mjinga katoa 1-0 wakati wenzake wote wametoa 3+ pumbavvv
Australia NPL Victoria
Bentleigh Greens 0 - 0 Heidelberg Utd
Mamaeee zao nimeweka 2+ cheki sasa nashinda njaa leo mchanaa
 
msije kujilaumu baadae kwa kupitwa na hii. timu mbili point mbili then mzigo.
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-06-14-35-24.png
    Screenshot_2016-08-06-14-35-24.png
    117.9 KB · Views: 29
Back
Top Bottom