Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mwenzenu nimeshajilipua all to win
 
Attachments

  • 1470422033833.jpg
    1470422033833.jpg
    24 KB · Views: 45
Mie nashaur mtu kama una presha uachane na kubeti wewe uwe mshauri tu, vinginevyo utakuja kufa cku moja umejilipua uhakika alafu mambo yanagoma. Nimetia 30k ikaliwa yote afu nkajaribu wa jero nkala mia nane daaah
 
hahahaaa daaaa betting ni kazi ngumu kwelikweli but always remember NO RETREAT NO SURRENDER
 
Mie nashaur mtu kama una presha uachane na kubeti wewe uwe mshauri tu, vinginevyo utakuja kufa cku moja umejilipua uhakika alafu mambo yanagoma. Nimetia 30k ikaliwa yote afu nkajaribu wa jero nkala mia nane daaah
imebid nicheke tu dah
 
Nakumbuka msimu wa ligi ulioisha watu tulikuwa tunausubiri kwa hamu sana lakini kilichotokea kila mtu anajua, Jambo LA msingi nikujua betting ipo tuu kila siku na pia zinaongezeka kwakasi sana bila kuwa mtulivu na kujua nini unachokitafuta mzee hapo utakuwa huna tofauti na teja LA unga ambaye una arosto ya betting.

KANJI ANAPIGIKA KUWA NA MBINU ZA KUMPIGA SIO UNAKUWA NA MBINU MOJA TUU.
 
Sasa hata dortmund ana draw na sunderland c bora kukaa pembeni kuepusha msongamano kwa leo, mie ntakuwa nawaangalia tu sa iv mnaobet mie mpaka kesho tena aisee. Mambo yashadont kbxaa
hahahaa mkuu usemalo nikweli hapo ukiendelea kubet utaendelea kunenepesha sharubu za kanjibhai subiri tu kesho
 
Back
Top Bottom