bby? kiajee wataka kunipa 071/065 eenheePole bby
Wew tu kama unahitaji ipo available anytimebby? kiajee wataka kunipa 071/065 eenhee
bhasi tuseme inshallahWew tu kama unahitaji ipo available anytime
Mungu ajaliebhasi tuseme inshallah
betexplorer.comSofascore
Flashscore
Soccer24
uliweka timu 11 utaliwa tu weka mwisho mechi 2-3Mtoto wa nzi, nilikua nakukubali sana kwenye ile option ya I1-2 au II1-2 (meridian) nataka nikuenzi leo natia timu 11... kama vp fanya msaada hata 5 tu niwekee hapa
hahahaaaa huu ndio ukweli betting ni game of chance , ukitaka usiliwe usibeti na huwezi kula hela ya kanjibahi bila kubeti ,haha nimeona hii nimecheka sana.. hata aweke 1 bado tu bora asiweke kabisa (maana huo ndo ushauri mzuri lakini hauwezi).. nimeshacheza mara nying game moja tu na nikaona yale meno gizani.. jaribu over 0.5 goal full time hata barcelona na yanga na siku hyo wanatoka sare ya 0-0.. hvyo ndivyo betting inavyoogopesha (yaani kama ukoma)
watu waliweka hadi wake.. wakachukua..
wakaweka nyumba.. watu wakalala guest..
wengine hata wakasema watajisaidia hadharani.. simalizii ilikuwaje..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2]haha nimeona hii nimecheka sana.. hata aweke 1 bado tu bora asiweke kabisa (maana huo ndo ushauri mzuri lakini hauwezi).. nimeshacheza mara nying game moja tu na nikaona yale meno gizani.. jaribu over 0.5 goal full time hata barcelona na yanga na siku hyo wanatoka sare ya 0-0.. hvyo ndivyo betting inavyoogopesha (yaani kama ukoma)
watu waliweka hadi wake.. wakachukua..
wakaweka nyumba.. watu wakalala guest..
wengine hata wakasema watajisaidia hadharani.. simalizii ilikuwaje..