Kumbe mwenzetu wewe hauombagi ukibeti na kusubiri matokeo... Wewe ni 1 in a millionUkifwatilia sana mpaka unakesha utarun mental mkuu acha tamaa pesa ziko kila siku. Tamaa ndio inayotuumiza kila siku vilio eti kanjibah analoga sana mara anaomba sana..
Hii kitu ni bahati nasibu.. Usishangae hiyo 900k ikarudi kwake yote bila kutumia jicho la tatu.. Kila la kheri mechi za leo 2+ 3+ GG zakutosha!!
wakati bankocep wakinipa notficationa kuwa timu 9kati ya 10 wametabiri correctly sisi humu ni vilio tu
Ni kweli mzee jamaa wapo poa sana hata leo kuna odd ka 5 zipo nje njeHahahaha ... ttzo ujuaji, mi saiv nimeamua kuwafuata tu ... nachukua timu 3-4 kutoka humo BankoCep tosha. Jamaa wako vzr ingawa nao wanakuwaga na wachawi.
Yani nikeshe nikiombea kamari duh!! Bora niombee uzimaa na afya njema niendelee kusaka hela..Kumbe mwenzetu wewe hauombagi ukibeti na kusubiri matokeo... Wewe ni 1 in a million
I napatikana wapi chiefKuna hii site inaitwa Oddtip pia ni nzuri kwa (WIN) lakini wao hawatoi GG Over Under au Double Bet
Just google mkuu niko mbali na PcI napatikana wapi chief
Leo GG za kumwaga.. 2+ za kutosha kbsaa.. 3+ ndo usiseme.. usisahau Newcastle win today..Wakuu me naona bora tukashirikiana kwa njia hii kila siku kila mtu atupie mechi mbili ambazo anahis zitatoa goli zaiid ya mbili na kila mtu akitupia tukiziinganisha kwa siku tutapata odd za maana zo kumuua kanjibai maana kuna watu wengine upepo wao upo kwenye kuchagua mechi mbili za mwanzoni zinatiki ila akiongeza ya tatu basi inakua ndio ya kuchana. tushirikiane kwa hilo jamani.
Sawa ndugu .... Kuna MTU kasema anakesha anaomba kamari!!!??..... Hata pale unapoweka mkeka tu ..... Tayari ni "OMBI " la ushinde ....hauweki mkeka ili uliwe..... Ile kuweka tu tayari "umeomba ule"...... Au unafikiri kuomba ni mpaka uwe na biblia juzuuu rosali umepiga magoti na kukemea eti !!???......Yani nikeshe nikiombea kamari duh!! Bora niombee uzimaa na afya njema niendelee kusaka hela..
#Odd Hunter!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa ndugu .... Kuna MTU kasema anakesha anaomba kamari!!!??..... Hata pale unapoweka mkeka tu ..... Tayari ni "OMBI " la ushinde ....hauweki mkeka ili uliwe..... Ile kuweka tu tayari "umeomba ule"...... Au unafikiri kuomba ni mpaka uwe na biblia juzuuu rosali umepiga magoti na kukemea eti !!???......
weka nikandamizie kopi, mi siku ya mechi nyingi ndio kanji anakula mpaka mtaji wote, huwezi kuamini j1 na j2 nimeanza kuziogopa, nakusanya weekdays namrudishia weekend.Leo GG za kumwaga.. 2+ za kutosha kbsaa.. 3+ ndo usiseme.. usisahau Newcastle win today..
naufuata huu*****TOP TIP #1*****
Club brugge WIN
Fulham GG
Hannover GG
ODDS : 5
Jah Bless.......
Fulham & Hannover gg = 2+.... Timu mbili umetupatia ...asante*****TOP TIP #1*****
Club brugge WIN
Fulham GG
Hannover GG
ODDS : 5
Jah Bless.......