Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Kazi IPO....
kweli betting ngumu sasa midtyland anapigwa yuko home na mpinzan ana red khaaaaaa
Betting inaweza kukufanya kichaa
Hataree sn ... halafu yalivyo mapumbafff hata 2+ yanashindwa kutoa, grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Bora sikubet ni hatari kanjibah kabana kila konaView attachment 376057
Ushauri hapo kambla sijamtia kanjibah kitanzi...
Ni heri uwe na mkeka mmoja ukaliwa kuliko 10 ukaliwa yote... Mikeka 10 unacheza wale wale ...... Mhindi anafurahi kwelikweliMikeka nane nimetoka kapa.
Lakini Mungu ni wa wote, one day yes
Tip ya juzi walikosa sana .... Nkasemangoja nichague 6 Leo nicheze..... Dooooh yule yule mmoja aliekufa ndie niliyemfatawakati bankocep wakinipa notficationa kuwa timu 9kati ya 10 wametabiri correctly sisi humu ni vilio tu
dah pole mkuu nafikiri li litimie lile neno lako kuwa huyu KUMAR anaroga na kumwomba mungu at the same timeTip ya juzi walikosa sana .... Nkasemangoja nichague 6 Leo nicheze..... Dooooh yule yule mmoja aliekufa ndie niliyemfata
Soma maelezo kuanzia kurasa ya mwanzo utapata...ila kama huna ujasiri wa kuhimili vipigo vya mhindi achana na huu ulevi isije ukazua balaaa...Wadau mi natamani kubet ila cjui huwa mnafanyaje?
Dah yan hizo ligi mbili ulizozitaja najiogopa hatari. Hata team iwe inaongoza ligi sichezi kabisaNdio maana mara zote huwa sipendi kuiamini Europa league, vitimu unaviamini but vyenyewe vina ku let down.....kama league ya brazil na argentina vile dah
Hao jamaa wako vizur huwa nadunda nao sana Jana wamemnyoosha sana kwa wale waliopata site yao. Juzi ndo walivurunda kidogo mana ndo Mara ya kwanza kuwaona wameshinda mech kuanzia 3wakati bankocep wakinipa notficationa kuwa timu 9kati ya 10 wametabiri correctly sisi humu ni vilio tu