Almost week moja tu imebaki tuanze kutengeneza pesa kwa ligi za uhakika, championishp kwa magoli haiwez kumwangusha mtu aisee, na league one
Notification una enable sehemu gani mkuu kwenye hii application ya bankocep cz jamaa wapo vizuri sana ukitulia na ukawa unawafuata mdogomdogo unaweza kila cku ukawa unatengeneza pesa tuwakati bankocep wakinipa notficationa kuwa timu 9kati ya 10 wametabiri correctly sisi humu ni vilio tu
Mkuu hii bankocep I napatikana wap mkuu.. msaada tafadhali. .Notification una enable sehemu gani mkuu kwenye hii application ya bankocep cz jamaa wapo vizuri sana ukitulia na ukawa unawafuata mdogomdogo unaweza kila cku ukawa unatengeneza pesa tu
Wapi napata hii app ya bankocepTip ya juzi walikosa sana .... Nkasemangoja nichague 6 Leo nicheze..... Dooooh yule yule mmoja aliekufa ndie niliyemfata
Mkuuu upe mwili muda wa kupumzika.....Daaaaah, wadau mnalala sana. Yan usku kulikua na mechi Ya Nigeria imetoa sana magoli inplay. Vile vile kulikua na timu moja ya basketball imeshinda set zote nne alaf muhindi alikua anajisahau odds kinomanoma. Yan 100k inaleta 900k within one hr. Siwez acha kubet jamani.
play storeWapi napata hii app ya bankocep
Championship inafunguliwa Leo kwa mechi ya Fulham v NewcastleChampionship inaanza kesho
Championship inafunguliwa Leo kwa mechi ya Fulham v Newcastle
Yaaaa eereste divisie na eredivisie (daraja la kwanza na ligi kuu ) uholanzi pia zinaamza Leo wanatoa sana 2+ ,gg na goal in both halves au goal ina each half,3+....Alfu mkuu kuna zile game za uholanzi Nao kwa magoli sio wabaya ila hizi game za ufumbuzi dah
Newcastle anashindaa mchana kweupe hii game..Championship inafunguliwa Leo kwa mechi ya Fulham v Newcastle
Yaaaa eereste divisie na eredivisie (daraja la kwanza na ligi kuu ) uholanzi pia zinaamza Leo wanatoa sana 2+ ,gg na goal in both halves au goal ina each half,3+....
Hata wa Austria wanatoa sana 2+ wameanza last weekPlus wa German wanaanza Leo 2 league
Hata wa Austria wanatoa sana 2+ wameanza last week
.......twajaribu na hizi ligi, atakayeokoteza haya. Ligi ya kubeti ndo inaanza, Kanjibai anaongoza dhidi yetu 😡😡😡
Ukifwatilia sana mpaka unakesha utarun mental mkuu acha tamaa pesa ziko kila siku. Tamaa ndio inayotuumiza kila siku vilio eti kanjibah analoga sana mara anaomba sana..Daaaaah, wadau mnalala sana. Yan usku kulikua na mechi Ya Nigeria imetoa sana magoli inplay. Vile vile kulikua na timu moja ya basketball imeshinda set zote nne alaf muhindi alikua anajisahau odds kinomanoma. Yan 100k inaleta 900k within one hr. Siwez acha kubet jamani.
Basi leo pesa ipo.Plus wa German wanaanza Leo 2 league