Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ni kweli mzee jamaa wapo poa sana hata leo kuna odd ka 5 zipo nje nje


Yes, dawa ni kuwafuata hao tu. Tuache mitamaa ya Odds 50 sijui mia nne, tutakuwa tunalia daily. Ukipata Odds 3 kutoka kwa BankoCep, unaweka stake kuanzia 50K zinatosha.
 
Sawa ndugu .... Kuna MTU kasema anakesha anaomba kamari!!!??..... Hata pale unapoweka mkeka tu ..... Tayari ni "OMBI " la ushinde ....hauweki mkeka ili uliwe..... Ile kuweka tu tayari "umeomba ule"...... Au unafikiri kuomba ni mpaka uwe na biblia juzuuu rosali umepiga magoti na kukemea eti !!???......


Hahahahaha ... Mtoto wa Nzi bana, daaaah nmecheka kinoma
 
Wakuu hii goal live version mpya ni ya hovyo, ni app gani nzuri ya livescore ambyo unaweza kumark game zako na kuwa unatoa moja baada ya nyingne ikitick
 
Poland - Ekstraklasa
Jagiellonia Bialystok vs Arka Gdynia
Tip: 1 (Draw No Bet)
Odds: 1.45
 
Hiii option haipo huku premier ....
Club brudge
Newcastle
NEC Nejmegen
Hannover
Lask Linz
De Graafschaf
Cambuur
II 1-2
blaza unaeza kuta umempa timu mwenzio afu wewe hujatia mzigo mwisho wa siku unakuta kitu WON! ahahahahah afu kule uliko aminia kuna chekecheo limepita
 
Back
Top Bottom