tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
mkuu, huu mchezo hauhitaji HASIRA...ukitumia hasira unaweza kujikuta unakunywa kopo zima la PCM......Huu mchezo lazima unywe dicloper ngoja nisubiri EPL ianze
mkuu, huu mchezo hauhitaji HASIRA...ukitumia hasira unaweza kujikuta unakunywa kopo zima la PCM......Huu mchezo lazima unywe dicloper ngoja nisubiri EPL ianze
Pole bbyyaan nimenyooshwa 35000/= within no time, kuna kanjia kamoja nilitumia ...nilichukua timu zilizo na odd isiozidi 9 katka option ya GGGG nikazipa GG au Y nikatupia mkwanja napo nikanyooshwa japo kwa mbinde ila kanjibahi alifanikiwa,
sahizi nipo dailema sijui hata nitumie njia gani ili nirudishe mkwanja wangu ,maana hela kibao imeliwa yaani mbaya zaidi upepo sina kabisa kwasasa ,
meeridian zimejaa Alama nyekunduu tuu hakuna jipya..
NATANGAZA LASMI NI MWENDO WA KUDESA TUU MAANA KAMA NIMESHINDWA MIMI NGOJA NITUMIE UPEPO WA WAKONGWE KATKA UZI HUU..
Wanataka kuuza magazeti kwa kutumia kick ya betting.sasa wanatakaje hawa media
Hii safi maana umempiga kwa odd nyingi sana......Hongera
wakuu, hebu wasikie hawa WACHAWI wanachosema...............
kwanza kiki yake haipati make mheshimiwa mwenyewe shida yake pesa ipatikane na betting inampa kodi anayotakaUkisikia umbea ndio huu. Kodi inalipwa shida yao nn hao waandishi uchwara. Eti utafiti, wawaache vijana wafanye yao. Huyo muandishi kwanza mshahara wake haumtoshi. Badala aje atuombe odds 3 ajilipue anajifanya anatafiti. Mxiuuuuu
Ukisikia umbea ndio huu. Kodi inalipwa shida yao nn hao waandishi uchwara. Eti utafiti, wawaache vijana wafanye yao. Huyo muandishi kwanza mshahara wake haumtoshi. Badala aje atuombe odds 3 ajilipue anajifanya anatafiti. Mxiuuuuu
Kila kitu kinawezekana endapo utaamua kutimiza unachokitaka kumla kanji n jambo linalowezekana tena usiweke tamaa ukiweka tamaa tuu umepigwa pia kuwa na msimamo kwa unachokiamini.
Nina mfano hapa ebu jaribu kuutafakari na kuona je inawezana?.
Kwa kuanza ngoja tuone
Melbourne win 1.57n
Canbera Olympic win 1.7
Southern samity win 1.57
Zamalek win 1.57
Total odds 6.5
After VAT. 5.3.
Twende sote
Hahahahaha! Mkuu wachawi wapo wengi sana. Badala ya kudeal na maisha yao wanahangaika na masuala yasiowahusu. Utadhani watu wanaobet ndio wanarudisha nyuma maendeleo yake.Ukisikia umbea ndio huu. Kodi inalipwa shida yao nn hao waandishi uchwara. Eti utafiti, wawaache vijana wafanye yao. Huyo muandishi kwanza mshahara wake haumtoshi. Badala aje atuombe odds 3 ajilipue anajifanya anatafiti. Mxiuuuuu
Kila la kheri mkuu. Je, hao QABALA unawajua vizuri?Za moto moto hz hapa
LEIKNIR 1.58
AEK 2.55
KOLN 2.20
QABALA 4.75
TORINO 2.35
All win & total odds=98.94
chambua hapo