Tukatafute izo billions sasaSasa piga wastani mikoa mingine yooote ipate tu hata 100M kwa siku ni shilingi ngapi kwa mikoa 25!!??? Si 25b ....hata akiliwa 5b kwa siku anashindwaje kupata faida ya 14b kwa siku!!???? .....
Tukatafute izo billions sasa
AC OULU
PAOK SARE
BRAZIL(W)
BREIDALBK
CHELSEA
Sagula hapo inayokufaa beba isiyokufaa achaHuwezi kuzitafuta hzo billions kwa kumdhamini Chelsea ashikilie pesa zako tena kwenye bonanza.
1)Ushavunja BUSINESS PLAN YAKO..... bizness plan inasema odds 4 kwa siku umecheza odds 6.5 ,Kila kitu kinawezekana endapo utaamua kutimiza unachokitaka kumla kanji n jambo linalowezekana tena usiweke tamaa ukiweka tamaa tuu umepigwa pia kuwa na msimamo kwa unachokiamini.
Nina mfano hapa ebu jaribu kuutafakari na kuona je inawezana?.
Kwa kuanza ngoja tuone
Melbourne win 1.57n
Canbera Olympic win 1.7
Southern samity win 1.57
Zamalek win 1.57
Total odds 6.5
After VAT. 5.3.
Twende sote
[emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji120] [emoji482] [emoji19]1)Ushavunja BUSINESS PLAN YAKO..... bizness plan inasema odds 4 kwa siku umecheza odds 6.5 ,
Hiii n kamar mkuu kuliwa n kuliwatu unashindana na muhind kwa maomb lkn hakuna anakupga tu kwa uchawi ndo kbsaa hata upande juuJamani tatizo tunabeti kwa tamaa unakuta hisia zako zinasema timu Fulani zinashinda halafu wazo jingine linakuja ngoja niongeze na nyingine hapo kipigo hakikwepeki!!! Ushauri weka zile unazohisi kwa Mara ya kwanza!!!!
Kila kitu kinawezekana endapo utaamua kutimiza unachokitaka kumla kanji n jambo linalowezekana tena usiweke tamaa ukiweka tamaa tuu umepigwa pia kuwa na msimamo kwa unachokiamini.
Nina mfano hapa ebu jaribu kuutafakari na kuona je inawezana?.
Kwa kuanza ngoja tuone
Melbourne win 1.57n
Canbera Olympic win 1.7
Southern samity win 1.57
Zamalek win 1.57
Total odds 6.5
After VAT. 5.3.
Twende sote
1)Ushavunja BUSINESS PLAN YAKO..... bizness plan inasema odds 4 kwa siku umecheza odds 6.5 ,
Mhindi ni mchawi balaaaa na anaomba Mungu hatari.... Hata mechi hazijaanza yeye anaomba tu huku anaroga..... Unapanga ucheze mechi 3 unastuka umeshacheza mechi 5 na umeweka hata wale uliokuwa hauwawaziiii....Hahahaha ... na ametoka kuongelea suala la tamaa ... teh teh teh. Nafikiri hapo ndio uchawi wenyewe ulipo. Wanadam tumeumbwa na tamaa flan hv
Tuulie wawili wa Leo mkongweKesho naanza kazi rasmi namuua kabisa genk ya samata
mzee mwenzangu leo muue marseile na youngboys....Tuulie wawili wa Leo mkongwe
Tatizo tunakula warahisi sana kuwa- kuliko kuwa+ ebu fikiria kwanza inawezekana au hapana.1)Ushavunja BUSINESS PLAN YAKO..... bizness plan inasema odds 4 kwa siku umecheza odds 6.5 ,
Kumbuka kila siku unasave unachokipata inamana hyo 2m n faida ya zao LA 12 hvyo utakuwa na faida ya maxao 11 nyuma.On paper ni plan nzr sn, lakini ttzo linakuja kwenye guarantee ya kupata hizo Odds 4 "consistently" bila kuharibu. Maana hapo ikikuharibia na umefika, say day 13, ukatupia hiyo 2,048,000/- ... inamaana utalazimika kuicheza akiba, nayo inatokea bahati mbaya wanairambaaa ...
Lakini ni plan nzr Chief.
Fuata nyuki ule asali lakini ukumbuke kuna kung'atwa......Tatizo tunakula warahisi sana kuwa- kuliko kuwa+ ebu fikiria kwanza inawezekana au hapana.
Kupata odds ambazo sio chini ya nne na sio zaid ya saba inawezekana, changamsha kichwa
Uking'atwa unakuwa mpole unatafakari kwannFuata nyuki ule asali lakini ukumbuke kuna kung'atwa......