Mbavu mbili
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 1,457
- 874
Dundalk v BATE
BTTS...ODD 2.05
STAKE: 250000/=
nalala
BTTS...ODD 2.05
STAKE: 250000/=
nalala
Tatizo hii option hawaweki timu zote mpaka zile walizozitafsiri wao kuwa ni big matchDroo dkk 10 Leo ni Zagreb ndio wamevunja.....mpaka sasa
Hizi mechi za kirafiki ni shidaaaa... Yani hapa nacheki game ya Koln v Bologna ....koln alikua kaitawala mechi mara kocha anafanya sub 8 kwa pamoja......hahaaaahaaaaaaaa hizi mechi za kirafiki zingine sio
Dhuuuu pole mkuu mitimu mingne inashindwa hata kujifuta machoz nyumbanMaamaaee Budapest kapigwa 5,niliweka 1h 0-1
alichonifanya uyo rosenburg hela ya kutoa posa yote kachukua kanjibai SASA NATANGAZA VITA KALI NA KANJIDaah...! Rosenborg....!!!!
Apoel kaninyima HEEEEEEELA nyingi saaaana.
alichonifanya uyo rosenburg hela ya kutoa posa yote kachukua kanjibai SASA NATANGAZA VITA KALI NA KANJI
Red star belgrade
Hapoel Tel Aviv
ALL DOUBLE CHANCE; WIN/DRAW.
Odds 2.01
Mjomba ..... Huyu jamaa bwana hapaniwi.... Kama ni urogaji yuko vizuri kwa mungu yupo vizuri maombi yako (ombi lako moja ) kuna watu zaidi ya Million duniani wamebeti tofauti na tokeo unalotaka..... Hiii nilikuta kwa mchambuzi mmoja wa kamari ambaye alikua MTU wa dini kabla.... Anakwambia makampuni ya kamari yanachangia sana duniani karibu 80% ya misaaada duniani ni kutoka kwenye kampuni za kamari ....... Wanasidia sana ... Na Mungu anawasikiliza....... Mtacheza milioni ila watakaokula hawatofika laki....Hata wacheza kamari wenye faida ni wenye mitaji... Kamari haijaaanza leo hata vazi la Yesu lilichezwa kamari..... Kama huna mtaji tulia (mimi mkatoliki nimelisikia neno kanisa flank).. Ila nilienda tu kama Umoja wa wakristu..... Mpaka Leo natafakari kama vile kuna ka ukwelialichonifanya uyo rosenburg hela ya kutoa posa yote kachukua kanjibai SASA NATANGAZA VITA KALI NA KANJI
ahahahahha asieeMjomba ..... Huyu jamaa bwana hapaniwi.... Kama ni urogaji yuko vizuri kwa mungu yupo vizuri maombi yako (ombi lako moja ) kuna watu zaidi ya Million duniani wamebeti tofauti na tokeo unalotaka..... Hiii nilikuta kwa mchambuzi mmoja wa kamari ambaye alikua MTU wa dini kabla.... Anakwambia makampuni ya kamari yanachangia sana duniani karibu 80% ya misaaada duniani ni kutoka kwenye kampuni za kamari ....... Wanasidia sana ... Na Mungu anawasikiliza....... Mtacheza milioni ila watakaokula hawatofika laki....Hata wacheza kamari wenye faida ni wenye mitaji... Kamari haijaaanza leo hata vazi la Yesu lilichezwa kamari..... Kama huna mtaji tulia (mimi mkatoliki nimelisikia neno kanisa flank).. Ila nilienda tu kama Umoja wa wakristu..... Mpaka Leo natafakari kama vile kuna ka ukweli
sawa kamanda inaonekana mungu anamsiklza sana KANJI na kwenye kuroga pia KANJI wanamuamin sana yaan kama ni mchezaj bas anatumiA miguu yote ,,,sasa cjui tumlilie nan akat jamaa kakaba koteMjomba ..... Huyu jamaa bwana hapaniwi.... Kama ni urogaji yuko vizuri kwa mungu yupo vizuri maombi yako (ombi lako moja ) kuna watu zaidi ya Million duniani wamebeti tofauti na tokeo unalotaka..... Hiii nilikuta kwa mchambuzi mmoja wa kamari ambaye alikua MTU wa dini kabla.... Anakwambia makampuni ya kamari yanachangia sana duniani karibu 80% ya misaaada duniani ni kutoka kwenye kampuni za kamari ....... Wanasidia sana ... Na Mungu anawasikiliza....... Mtacheza milioni ila watakaokula hawatofika laki....Hata wacheza kamari wenye faida ni wenye mitaji... Kamari haijaaanza leo hata vazi la Yesu lilichezwa kamari..... Kama huna mtaji tulia (mimi mkatoliki nimelisikia neno kanisa flank).. Ila nilienda tu kama Umoja wa wakristu..... Mpaka Leo natafakari kama vile kuna ka ukweli
HAHAHAHAAAAAAMjomba ..... Huyu jamaa bwana hapaniwi.... Kama ni urogaji yuko vizuri kwa mungu yupo vizuri maombi yako (ombi lako moja ) kuna watu zaidi ya Million duniani wamebeti tofauti na tokeo unalotaka..... Hiii nilikuta kwa mchambuzi mmoja wa kamari ambaye alikua MTU wa dini kabla.... Anakwambia makampuni ya kamari yanachangia sana duniani karibu 80% ya misaaada duniani ni kutoka kwenye kampuni za kamari ....... Wanasidia sana ... Na Mungu anawasikiliza....... Mtacheza milioni ila watakaokula hawatofika laki....Hata wacheza kamari wenye faida ni wenye mitaji... Kamari haijaaanza leo hata vazi la Yesu lilichezwa kamari..... Kama huna mtaji tulia (mimi mkatoliki nimelisikia neno kanisa flank).. Ila nilienda tu kama Umoja wa wakristu..... Mpaka Leo natafakari kama vile kuna ka ukweli