Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Chief, leo over sizioni nyingi baada ya hawa waAustralia ... jaribu kwa hawa Lithuania (A Lyga), Germany (Regionalliga Bayern) & Club Friendlies

Atlantas (1.73)
Bayreuth (1.34)
Unterhaching (1.53)
Schalding (1.66)
B. Monchengladbach (1.50)
Konyaspor (1.63)

Kumbe wapo wapo aisee .. wengine hawa (Club friendlies).

Dusseldolf
Lierse
MTK Budapest
Atromitos

Hizo zote ukiwapa 3+ au ukitaka kuwa on a safe side ukawapa 2+ ... uwezekano mkubwa wa kulala na hela ya Kanjibah Kumar
 
Jamaa kumbe wako vzr kwenye Basketball pia ... saiv ntakuwa siumizi kichwa. Natafuta Odds 2 humu humu BankoCep

View attachment 374859

Total Odds = 15.78
Wadau tushindwe sisi tu sasa. Andaa kilo yako, tafuta Odds 2 unapata faida kilo kwa cku maisha yanasonga.
Mbona leo wameweka ttimu chache sana yaani tano tu
 
Mkuu je ukitaka kuaad namba ya vodacom kwenye premier unafanyaje coz kuna error inatokea
Mbona ninajaribu ku deposit via mpesa inakataa? jana nimedeposity na kufuata instruction zao zote lakini leo mchana fedha imegoma kuingia kwenye betting account na kurudishwa kwenye account yangu ya m pesa
 
Utakuwa umekosea reference number
 
reference number siyo sawa sawa na account id yangu kama kwenye meridian?
😀😀 tuimbe kwa sauti kuuu hiii ndio aaaaaa aaaa aaaaa aaaaaaa ina mkia mreeefuuuuu aaaaaa aaaaa aaaaaaaaa........

Ndio Hivyo mkuuu tena unabahati baada ya kulalamika sana na kutishiana kuwashitaki siku hizi ukikosea wanarudisha zamani alikua ndio ntoleeee.....

Iko hivi ukiingia kuna sehemu pale chini ya account name imeandikwa deposits utaclick ....utachagua kampuni unayotumia Tigo / vodacom .... Utaingiza kiasi unachotaka kuweka unaclick OK ...inakuja kuconfirm unaclick wanakuletea sasa REFERENCE Namba ya kutumia ... Unaenda kwenye malipo unalipa (ila ulipe kiasi kile kile ulichokiandika kukiombea reference ukiweka kiasi tofauti haiendi).....
 
Poa mwalimu !! naddani sasa nikikosea adhabu ya viboko inanihusu. ngoja nijaribu kutafuta odd 5 za under 2.5 in first half au droo in 10 minutes nione kama kitaeleweka.
 
Back
Top Bottom