Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Chief haya ma-betting tips sio ya kuyaamini sn ... yanaweza kukuingiza chaka tu .. "Akili za kuambiwa, changanya na ..."

Mfano mm jana nilirely kwa clevertips kwenye uchambuzi wa mechi ya Molde & Varnamo, nikaingia chaka. Ila kabla ya kutupia niliangalia Molde recent form yake sio nzr kb nikataka nicheze magoli (2+ au 3+) .. lkn baadae nkasema niwafuate hawa wataalam ... nikawapa double chance X2 .... grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

upload_2016-8-2_10-28-44.png
 
View attachment 374805

daa ni hatarii aisee hakuna kwa kutokea,
 
Dah,Derry city,what u did? unambaja kwa LIMERICK na kuninyima mihela kwa mtaji nilioupata kwa hisani ya SMOKE D? Kweli kanji nouma,unarudisha hela zote na riba
😱😱Sasa mtaji wote umeenda Duh!! pole mkuu..
 
Jamaa kumbe wako vzr kwenye Basketball pia ... saiv ntakuwa siumizi kichwa. Natafuta Odds 2 humu humu BankoCep

ImageUploadedByJamiiForums1470129328.585068.jpg

Total Odds = 15.78
Wadau tushindwe sisi tu sasa. Andaa kilo yako, tafuta Odds 2 unapata faida kilo kwa cku maisha yanasonga.
 
Hapo napo sawa but Kwa Dundalk na BATE sioni mshindi

Ningekuwa mm nacheza double chance hiyo game (Dundalk vs BATE) ningeweka X2, BATE ana uzoefu wa UEFA ukilinganisha na Dundalk ... anaweza asishinde lkn hatashindwa ku-draw.
 
Vipi kwa Rosenborg na Apoel unaona mshindi????????[emoji134][emoji134][emoji134] unisaidie

APOEL Nicosia alipigwa game ya kwanza ugenini 2-1, hii ya leo atatumia vzr uwanja wa nyumbani mbele ya mashabiki wao. Itakuwa ngumu Rosenborg kuondoka na ushindi hapo.

I would go for X1 ...

Note: All in all mpira unachezwa uwanjani na lolote linaweza kutokea na kuifavour timu nyngne ... red card, penalty, wrong refereeing decisions etc!
 
Yaap...Nimekuelewa Braza, Rosenborg or Draw..
 
Back
Top Bottom