Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2016-8-2_1-44-54.png
 
Dah,Derry city,what u did? unambaja kwa LIMERICK na kuninyima mihela kwa mtaji nilioupata kwa hisani ya SMOKE D? Kweli kanji nouma,unarudisha hela zote na riba
 
Na ina rangi nzuuuur, kama ya chama cheeetu...hahahaha..(Kijani na njaaano) na picha za Wachezaji juu....ukiliwa unajipooza kwa kuangalia picha za Rooney, Maria Sharapooova.[emoji4][emoji4][emoji4]
Na maria[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Derry City, Derryyyyyyy ***** popote ulipo na ulaaniwe milele umeninyima mpunga daaa
 
Haya matimu ya Uingereza yakicheza na wababe wengine nje ya UK hazifui dafu, no wonder huwa wanatolewa mapema Champions League.
Liverpool jana kachezea kipigo: Liverpool 1-2 AS Roma
nilifaata hii tips mkuu .....wamezingua
upload_2016-8-2_9-5-49.png
 
Kwa mwamvuli wa Mtoto wa nzi,Jumamosi ni siku ya madevu kurudisha pesa zetu maana ligi za siku hiyo kwa mtoto wa nzi madevu hana ujanja.Tunakutegemea mtoto wa nzi uokoe jahazi siku hiyo.
 
Kwa mwamvuli wa Mtoto wa nzi,Jumamosi ni siku ya madevu kurudisha pesa zetu maana ligi za siku hiyo kwa mtoto wa nzi madevu hana ujanja.Tunakutegemea mtoto wa nzi uokoe jahazi siku hiyo.
Acha ligi za maana zianze.... Belgium,urussi na denmark hawajaniangusha mechi zote tangu waanze.... Hivi viligi vya sijui estonia sijui Slovenia ni shida sana
 
Back
Top Bottom