Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Valerenga 2+
Napoli 2+
West brom 2+
Olimpija 2+
Malmo ff 2+
Tromsk 2+
Utrech 1/X
Clube atletico 1X

Nijarbu na leo
Atletco asubuh hiii unaharbu hata draw inakushinda[emoji35] [emoji35]
 
Kabisa aiseeee ... yani natamani kila siku watu wawe wanarusha mikeka ya neema tu. BET WON! BET WON! BET WON! BET WON! mpk tumfilisi.

muwe mnarusha mikeka sasa ...
Hiyo point ya msingi sana mkuu tukishirikia mbona atafunga biashara dadeki zake maana makof yake yamezidi
 
Kabisa aiseeee ... yani natamani kila siku watu wawe wanarusha mikeka ya neema tu. BET WON! BET WON! BET WON! BET WON! mpk tumfilisi.

muwe mnarusha mikeka sasa ...
Lakini kuna watu humu wanavizia mpaka washinde ndio walete mikeka yao BET WON tunataka na hiyo uliolost BET LOST tujue wachawi ni kina nani ili next time tumpapase kanjibai😀😀
 
Kwa mkekabet kwa sasa bet lost utaijuaje?

Wakusoma, Jaribu na Premier...Hakika utanipeenda(ahahahhahahhaha,Nimekumbuka wimbo wa Diamonde)

Ukipata Odds 2.12 haina kuAssume Tax ya 18%...

Unapiga tu 2.12 × 2,000,000/= Tshs ndo WIN yako.

No Deduction.
 
Una deposit vipi hela ya kubet kwenye premier?
 
I have a suggestion... Hv tukifanya study hatuwez tukang'amua formula zinazotumika na hawa jamaa?
 
Wakusoma, Jaribu na Premier...Hakika utanipeenda(ahahahhahahhaha,Nimekumbuka wimbo wa Diamonde)

Ukipata Odds 2.12 haina kuAssume Tax ya 18%...

Unapiga tu 2.12 × 2,000,000/= Tshs ndo WIN yako.

No Deduction.

Na ina rangi nzuuuur, kama ya chama cheeetu...hahahaha..(Kijani na njaaano) na picha za Wachezaji juu....ukiliwa unajipooza kwa kuangalia picha za Rooney, Maria Sharapooova.[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom