Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Daah huu mkeka unaniuma kinoma, yani goli moja tu limeninyima 300K ... grrrrrrrrrrrrr. Nliacha matimu kibao yaliyotoa 2+/3+ ...daaah


upload_2016-7-31_18-5-48.png
 
Spartan ameshaanza.... Ukimtoa odds 8...
 

Attachments

  • Screenshot_2016-07-31-18-13-16.png
    Screenshot_2016-07-31-18-13-16.png
    24.5 KB · Views: 33
Mhhh Bora ww umebaki na elfu 5 mkuu mimj wamekwangua kila kitu asubuhi na mapema kuna waustralia kama watatuambia wangese kweli kwel.
Dah poleni alakat z kull n ela y kanj kipnd ik kmekua kigumu m leo nmebet Maribor win odd 2.05 kwa elfu 10 natafuta mtaji bhn [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
X- sare ndani ya dakika 10, wengine corners under 12.5 .... Odds 3.7
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-01-03-29-12.png
    Screenshot_2016-08-01-03-29-12.png
    26.1 KB · Views: 34
Back
Top Bottom