Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Huko ni kufa kwa nyani mkuu..
... hatareee sn. But still there's plenty to play for. Siku bado mbichii kbs na mechi za kumwagaa. Ngoja niwatathmini hawa waFinland.
Huko ni kufa kwa nyani mkuu..
Hii tabia sijui nani kaianzisha, ikome rasmiPandurii
Gent
Genk
All win normal jamaan atakayenifata hapa plz 0762165498 atume buku 2 tu ya shukurani
Pole mkuu hali n tete
Tuko wengiKila ninakogusa naambulia patupu.
Nilichukua mbili tu hapa..
Tuko wengi
Nilichukua mbili tu hapa..
Midtjylland 2+
Bangkok United Win
Naona mambo yameenda vizuri but niliweka stake ndogo nimejilaumu sana..
Cc.Buddy
Ukisuka utupie tusafir wote mkuu
Lazima nilale na hela ya Kanji leo ...
Haa haa haa mkuuu hyo n ngumu mkuu n km kusahau password ya m pesaNko mbioni kusahau password yangu ya meridian,siku nikisahau ntafurahi sana
Dhuu!! Leo n kubaya
Kuban na ulaaaniweeeeeee na mashetanLazio
Kuban
Nott country
First half over o.5
Ada ya kijana inahutajika haraka sana. Ee Mungu na unisikiView attachment 373958 e, kumbuka sadaka yangu ya leo asbh unijazie pale nilipotoa. Amina
Ada ya kijana inahutajika haraka sana. Ee Mungu na unisikiView attachment 373958 e, kumbuka sadaka yangu ya leo asbh unijazie pale nilipotoa. Amina