Mkuu kuna mchawi kazamia duh!! Green Gullly...MamaeeeBentleigh Greens - Win
Green Gully Cavaliers - 3+
Wellington Phoenix - GG
Floreat Athena - GG
------------------------
Total Odds = 6.41 (premierbet)
The best betting picksMkuu weka link yao..... Nawagoogle kwa hiyo GOALS SCORED siwapati
Mkuu kuna mchawi kazamia duh!! Green Gullly...Mamaeee
Bentleigh Greens - Win
Green Gully Cavaliers - 3+
Wellington Phoenix - GG
Floreat Athena - GG
------------------------
Total Odds = 6.41 (premierbet)
Imeniuma sana hiyo, game pesa nlioweka ni ndefu mnooo afu wanasawazisha dk ya mwisho kbsaJamaa wamesawazisha dk us 96
Jamaa wamesawazisha dk us 96
Imeniuma sana hiyo, game pesa nlioweka ni ndefu mnooo afu wanasawazisha dk ya mwisho kbsa
Daaah, ukiskia kunyang'anywa tonge mdomoni ndio huku. Jamaa pamoja na red card wanasawazisha dk ya 90+5, watu wanaenda Extra time.
View attachment 374924
Yani dk ya mwisho wa game BET inabadilishwa kutoka WON na kuwa LOST ... mamaaaeee Kanjibah, hahahaah ... haya bana.
View attachment 374925
Bet gani hiyo ilikuwa na 0.5Huu mchezo bhana, ukijaribisha UNAKULA, ukifanya kweli UNALIWA... Daaaah
Bentleigh Greens - Win
Green Gully Cavaliers - 3+
Wellington Phoenix - GG
Floreat Athena - GG
------------------------
Total Odds = 6.41 (premierbet)
Bet gani hiyo ilikuwa na 0.5
chief nisaidie kuchambua over kaChief haya ma-betting tips sio ya kuyaamini sn ... yanaweza kukuingiza chaka tu .. "Akili za kuambiwa, changanya na ..."
Mfano mm jana nilirely kwa clevertips kwenye uchambuzi wa mechi ya Molde & Varnamo, nikaingia chaka. Ila kabla ya kutupia niliangalia Molde recent form yake sio nzr kb nikataka nicheze magoli (2+ au 3+) .. lkn baadae nkasema niwafuate hawa wataalam ... nikawapa double chance X2 .... grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
View attachment 374805
sorry nilitoka kidogo Chief The best betting picksMkuu weka link yao..... Nawagoogle kwa hiyo GOALS SCORED siwapati
3-3 dakika ya 116 Bentleigh
Hiyo Green Gully haijatoa 3+ZOTE ZIMETOA 3+ (0VER 2.5) na GG (BTTS)
Full time 6-7 BentleighHao Bentleigh Greens sijui wamekuwaje leo, wanasawazishiwa dk za mwishoni tu. grrrrrrrrrrrrr
APOEL vs Rosenborg - 1X