Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nilichojifunza leo ni kwamba meridian wanaweka option ya '10 Min X' katka timu ambazo zinauwezekano mkubwa wa kufunga goal ndani ya dakika 10,
upload_2016-8-3_3-44-12.png

WAY FOWARD; nachukua timu zote zilizopewa hiyo option ya 10 Min X kisha nabetia goal time 0-27min
kama hivi yaani
upload_2016-8-3_3-42-28.png

KUNYOOSHWA INANIPA SELF ASSESMENT AND EVALUATION.. HII NJIA IKIGOMA BASI MUHIND ATAKUWA ANATAFUTA KIKI TUU.
 
nilichojifunza leo ni kwamba meridian wanaweka option ya '10 Min X' katka timu ambazo zinauwezekano mkubwa wa kufunga goal ndani ya dakika 10,
View attachment 375121

WAY FOWARD; nachukua timu zote zilizopewa hiyo option ya 10 Min X kisha nabetia goal time 0-27min
kama hivi yaaniView attachment 375120
KUNYOOSHWA INANIPA SELF ASSESMENT AND EVALUATION.. HII NJIA IKIGOMA BASI MUHIND ATAKUWA ANATAFUTA KIKI TUU.
lost tenaa
 
Sio mbaya najua ni huyo mkuda mmoja atakuwa ameharibu. Weekend ndio naingia kazini rasmi option zangu zitakuwa mbili tuu under 2.5 first half na droo katika 10 minutes. Nitakuwa ninacheza timu zisizozidi 10
Option ya droo in 10 minutes ipo premier??
 
Kwa hiii knock-out ya Rosenborg.... Yani sare tu akaze AVUKE.... Kapigwa 3 mtungi!!??? shikamooo mhindi.... Mamaaaaae nimeshauri humu ule mkeka wa jamaaaaa ..... Nikaongeza huyu boya...... Wakubwa .... Tukutane msimu wa ligi .... Kesho kuna mechi shazi za uefa ..... Tafuta 5 sare 10mins hupungui odds 2...... Aisalenda
Eeeh bora ligi zianze maana vpigo vmezd
 
Kwa hiii knock-out ya Rosenborg.... Yani sare tu akaze AVUKE.... Kapigwa 3 mtungi!!??? shikamooo mhindi.... Mamaaaaae nimeshauri humu ule mkeka wa jamaaaaa ..... Nikaongeza huyu boya...... Wakubwa .... Tukutane msimu wa ligi .... Kesho kuna mechi shazi za uefa ..... Tafuta 5 sare 10mins hupungui odds 2...... Aisalenda

Hivi hii Sare ndani ya Dakika 10, Ipo Premier...? Au ipo wapi...?
 
Mjomba ..... Huyu jamaa bwana hapaniwi.... Kama ni urogaji yuko vizuri kwa mungu yupo vizuri maombi yako (ombi lako moja ) kuna watu zaidi ya Million duniani wamebeti tofauti na tokeo unalotaka..... Hiii nilikuta kwa mchambuzi mmoja wa kamari ambaye alikua MTU wa dini kabla.... Anakwambia makampuni ya kamari yanachangia sana duniani karibu 80% ya misaaada duniani ni kutoka kwenye kampuni za kamari ....... Wanasidia sana ... Na Mungu anawasikiliza....... Mtacheza milioni ila watakaokula hawatofika laki....Hata wacheza kamari wenye faida ni wenye mitaji... Kamari haijaaanza leo hata vazi la Yesu lilichezwa kamari..... Kama huna mtaji tulia (mimi mkatoliki nimelisikia neno kanisa flank).. Ila nilienda tu kama Umoja wa wakristu..... Mpaka Leo natafakari kama vile kuna ka ukweli
Kweli makampuni ya betting yanapiga hela mbaya..Hivi ni gharama sana kufungua kampuni ya football betting..
 
Kweli makampuni ya betting yanapiga hela mbaya..Hivi ni gharama sana kufungua kampuni ya football betting..
Wanapiga pesa balaaa , ukiangalia wale wanaobetisha vimashine ukiangalia tiketi number kuanzia asubuhi mpaka jioni unakuta kauza tiketi nyingi sana
 
Someni Mtanzania la leo
Premier Betting wanasema kwa mwezi wanatoa hadi Bilioni 2 kwa washindi
Huu mchezo una hela tatizo ni sisi wachezaji
Kwa mwaka wanapata faida ya bilioni 14 hizo zote ni hela zetu
Sisi ndio hatuchezi, kuna watu weupe wao dau lao kila wiki ni kuanzia milioni kwenda juu

Tuwekezeni maana serikali inapata kodi
 
Ndio uone wanaoliwa ni wengi kuliko wanaokula.....
 
Jamani tatizo tunabeti kwa tamaa unakuta hisia zako zinasema timu Fulani zinashinda halafu wazo jingine linakuja ngoja niongeze na nyingine hapo kipigo hakikwepeki!!! Ushauri weka zile unazohisi kwa Mara ya kwanza!!!!
 
Mjomba weka ulizohisi 2 tu za Leo .... Afu muanze kushindana maombi na mhindi......
 
Nimepata data zao jana eti jumamosi moja tu kwa hapa dar wanaingiza milion 500 na kampuni kwa sasa ipo kila mkoa... shikamoo premier betting
Sasa piga wastani mikoa mingine yooote ipate tu hata 100M kwa siku ni shilingi ngapi kwa mikoa 25!!??? Si 25b ....hata akiliwa 5b kwa siku anashindwaje kupata faida ya 14b kwa siku!!???? .....
 
Back
Top Bottom